Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

20181008_093223.jpg
 
Insta story ya Diamond itawapa majibu ya kilichojili juu ya Joe hadi kupanda boti yao.
 
Asee watu wanabishana humu hadi wengine wanazimia, kuna mtu nimempita wanampepea huku kashika smartphone me itakua alikua humu kwenye mjadala.
 
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.

ruge ni share holder 40% wa CMG na kusaga anamuogopa ruge sana, ruge ndio mwamuzi wa mwisho pale clouds... hata mishahara ya wafanyakazi na kuajiri mfanyakazi anaamua ruge.. na hata kukufukuza staff ruge ndio mwamuzi.. kussga ndio kaanza kujiwekezea wasafi.... haya ni maneno ya dada mange kasema.. hide my id...
 
CMG ni mali ya familia ya akina Kusaga bro.
Kwaio familia ya kusaga ndio wanaugomvi na wasafi na ndio waliopiga pini song's za wasafi na c ruge? Je Kama ni wao hawaoni impact ya hatua hiyo katika business au malengo yao ya kucontrol muziki wa bongo, maana wasafi ndio kila kitu kwenye social media na Mitaani,na ukiwatenga lazima kuna kitu utapungukiwa Kama kampuni ya kiburudani.
 
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.

Muajiriwa kawa na jina kubwa hivyo...lazima atakua ana shares pale...
 
Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Kaka kusaga ndio mmiliki wa hiyo WCB asikudanganye mtu diamond ni Ceremonial leader tu
 
Back
Top Bottom