Son of a Pagan
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 359
- 542
[emoji23][emoji23]Ila Queen Darleen ana uke mrefu sana aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Ila Queen Darleen ana uke mrefu sana aisee.
Mwambie huyo hajielewiCMG ni mali ya familia ya akina Kusaga bro.
Hahaa, ufafanuzi tafadhali...Ila Queen Darleen ana uke mrefu sana aisee.
Mita ngapi? basi kama ni hivyo haendi mbinguni.Ila Queen Darleen ana uke mrefu sana aisee.
Hajui kua hata mzee wao alishakua CEO pale enzi hizoMwambie huyo hajielewi
umejitahidi kueleza vizuri,lakini ukae ukijua Clouds ni ya wasambaa familia ya Kusaga,mhaya yeye ni kijakazi kama vijakazi wengine tu,atulize mtaro tu.Inahitaji uelewa wa hali ya juu kuujua ukweli wa uwekezaji mkubwa pale wasafi media&recording label,je ni D'mond pekee na wenzie team WCB? kama sio yeye pekee dimond na WCB wenzie ,je ni nani yuko behind ya uwekezaji huo in pertinership?je ni tajiri gani ambaye yuko close na WCB Wasafi ambaye tunaweza kuona anahusika directly na uwekezaji pale usafini?kwa upande wangu na kwa kutumia darubini kali kabisa huyu wa kujiita #joe CMG C.E.O ametia mkono wake pale Wasafi empire,by any Means ni Kama kajishikiza wasafi bcoz inaonekana hana nguvu tena pale mawinguni [emoji739] #mr. RM,na hii ni kutokana na mgawanyo wa hisa pale CMG Kati ya hizo beberu mbili,kuna Anae endesha kampuni na yuko close na worker's na ni mtu wa mipango na Joe yeye ni kusikiliza tu kilichofanyika na kuvuta chake anapotaka,sasa amekuja kujishitukia hana sauti tena pale,so anatafuta pa Kutokea,na bcoz wasafi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1241][emoji3495][emoji290] aka take opportunity ili together na team WCB under D'mond wa create Biggest&strong empire,ili Wakachukue ufalme wa music bongo,media(in intertainment only) ,shows na adivertsment.kwa hali ilivyo pale CMG hawezi hata kuwatetea WCB au kupatanisha ili song's za WCB ziruke pale pale CMG,mwenye sauti ni yule @Mhaya,kwaio Joe ni Kama anamkomoa (refer D'mond yatch party yesterday,alikuwa kwenye attendance) au anamuonyesha RM Kuwa anaweza ku rise empire kubwa zaidi ya CMG,na naona anaelekea kufaulu na kuua kiburi cha mhaya na CMG Kiujumla,na naona Kama taratibu CMG wanakubali kuwa WCB empire ni [emoji91][emoji91][emoji91]. Note. Ni maoni yangu tuko tofauti kimtizamo,Welcome,am a new comer to the forum,be calm please.
Comment yako imekaa kishabiki sana, pia hauna taarifa sahihi za unachosema, na hata wengine wetu tunajua Clouds ni Radio na TV tu. Kwa taarifa tu ambazo ziko mtandaoni na unaweza zipata pia, Clouds Media Group ina entities nyingine nyingi tu, list hapa chini ni media tu.Ruge mutahaba ana akili sana ya biashara kuliko Joe ile CMG unayoiona ni akili za Ruge yy Joe pale anapewa tu taarifa nini kinaendelea
Humjui Joe,unapiga Ramli tuCMG wanakubali kuwa WCB empire ni![]()
. Note. Ni maoni yangu tuko tofauti kimtizamo,Welcome,am a new comer to the forum,be calm please.![]()
Kama unaona mbali wasafi wanaleta mapinduzi ya media, miaka mitano ijayo wcb itakuwa media yenye nguvu kuliko zote bongoComment yako imekaa kishabiki sana, pia hauna taarifa sahihi za unachosema, na hata wengine wetu tunajua Clouds ni Radio na TV tu. Kwa taarifa tu ambazo ziko mtandaoni na unaweza zipata pia, Clouds Media Group ina entities nyingine nyingi tu, list hapa chini ni media tu.
Clouds Radio
Choice FM
Classic FM
Coconut FM(Zanzibar)
Coconut TV(Zanzibar)
Clouds TV(Tanzania)
Clouds TV(Rwanda)
Clouds TV Plus
Clouds TV International(Abu dhabi)
Clouds TV(Botswana)
Source:Home - Clouds Media Group
Wote wafanyabiashara wanakunana MigongoKiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Kuna media houses nyingi sana Bongo, ushindani unaouzungumzia ni upi? Mfano: kwa maoni yangu ulinganifu unaofanywa kati ya Clouds na Wasafi umekaa kishabiki sana, na si mpya, ulifanyika pia ilipoanza Magic FM, Times FM na EFM, na sasa haziongelewi tena, na zote ni kwenye eneo moja sana la burudani, jiulize kwanini ulinganifu hauhusishi media nyingine kama IPP media, StarTV, Channel na Azam Media.Kama unaona mbali wasafi wanaleta mapinduzi ya media, miaka mitano ijayo wcb itakuwa media yenye nguvu kuliko zote bongo
Wanaweza kuamua kushindana Katika jambo wasilolijua vizuriWabongo bhana!
Wana kiredio pia kipo Dom nimekisahau jina.Comment yako imekaa kishabiki sana, pia hauna taarifa sahihi za unachosema, na hata wengine wetu tunajua Clouds ni Radio na TV tu. Kwa taarifa tu ambazo ziko mtandaoni na unaweza zipata pia, Clouds Media Group ina entities nyingine nyingi tu, list hapa chini ni media tu.
Clouds Radio
Choice FM
Classic FM
Coconut FM(Zanzibar)
Coconut TV(Zanzibar)
Clouds TV(Tanzania)
Clouds TV(Rwanda)
Clouds TV Plus
Clouds TV International(Abu dhabi)
Clouds TV(Botswana)
Source:Home - Clouds Media Group
Umejuaje Madame B???😂😂😂Ila Queen Darleen ana uke mrefu sana aisee.