Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Je unajua hata watengenezaji wa karanga za chapa ya Diamond waliletwa nchini na Kusaga,shida huku uswazi watu wanaweka ligi wakati wenyewe mnaowawekea ligi ni marafiki na ndio maana kuna msemo wa ''pambana na hali yako''
 
Imagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!
Aiseee umechambua vizuri
 
Aiseee umechambua vizuri
Ok Mkuu, mimi ni marketing officer by professional!!! Kwa kuongezea kuna kitu tunaita product life cycle , ambapo hatua ya kwanza ni intriduction of the product...hi huja baada ya marketing strategic nyingi sana kufanyika.....hata mimi ningekuwa marketing manager wa WCB ningeshauri kuanzisha business conflict na mtu ambaye naona tuna offer the same product alaf anaonekana ni competitor mkubwa ili kufanya positioning tu!!!!!!!.....watu wa masoko ndio kazi zao lakini uku uraiani wabongo wanataka kutoana macho!!!!
 
Well nimekupata mkuu,hongera inaonekana upo vizuri kwenye hii field.
 
Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Hii vita ya clouds na mondi inanikumbusha ile vita ya zaman nikiwa bado mdogo sana ya clouds dhidi ya binti machozi. Hehe huwez shndana na media
 
Imagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!

Tantalila mingii.. Joe ndo mmiliki wa Wasafi TV, hao wengine wanatumika tu kuipromote..
 
Ngoja nisitie neno hapa nibakie mtazamaji tu nisije umbuka mbeleni
 
Hakuna bifu....watu wanapiga mpunga tu.
 
Imagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!
Tulio Soma uchumi tumekuelewa
 
Back
Top Bottom