Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Wewe shoga hebu katafute basha Instargram huko.

Joseph ni Joe hiki siyo kifupishe bwege wewe.

Robert ni Bob hiki siyo kifupisho kama cha Rosemary ukamuita Rose.

Fala kabisa ungekuwa karibu ningekuzamisha dole la kati.
Aaah kazi kweli kweli
 
Dooh kumbe! Kuna haja ya kumwamini mange sasa.
Mmesahau kwamba Mange huyo huyo cku za nyuma aliwaambia Wasafi Media ni yca Makonda kama ambavyo aliwahi kuwaambia nyumba ya South Africa sio ya Diamond huku wakati fulani akisema Zuleikha ni mtoto wa Zarina hadi alipokuja kuumbuliwa na pics za Zuleikha na Zari wakati wakiwa wadogo!!

Poleni sana akina Da' Mange kasema!
 
Mzee umekalili madesa ya Saut na umeyamwaga kama yalivyo duuu!!!
 
Clouds ni ya familia ya Kusaga. Ruge aliingizwa pale na mmoja wa wanafamilia hiyo aliyefariki ... South...miaka ileee
Walikuwa patners..lala amka.
... ndio maana Ruge pale kumtoa ni shida..karithi nafasi ya marehemu mpenziwe....
Sasa hii wasafi ni plan B...Clouds itakufa pole pole....mpaka atakapo toka Ruge...

Hakuna njia nyingine ya kumtoa zaidi ya hiyo.

Wasafi ni Kusaga's
 
juzi kagawa bima kwa watu 1000,mitaji,pikipik na bajaji ila hata kumpongeza kinafiki mmeshindwa,hata kulike ule uzi mmeshindwa,leo mmejaza uzi kwa kumkandia kisa Yachi Pati..
 
JF ina watu was3ng3 sana tena sana,juzi kagawa bima kwa watu 1000,mitaji,pikipik na bajaji ila hata kumpongeza kinafiki mmeshindwa,hata kulike ule uzi mmeshindwa,leo mmejaza uzi kwa kumkandia kisa Yachi Pati....mammaae walah mna chuki za kifa.la sana
Bwana wewe kwani vipi mbona kumpanick sana?

Akamsaidie baba yake mzazi kwanza ndio sadaka yake itapokelewa mbinguni.

Mshaurini kijana wenu amsamehe baba yake kwani hata yeye ana madhambi lukuki ya uzinzi anategemea Mungu aje kumsamehe.
 
Joseph kussaga ni mmiliki wa wasafi TV kama haufahamu Daimond ni geresha tu kama watu walivyodhani alikua mmiliki wa daimond karanga.
Yaani unaambia watu kama hawafahamu huku ukitaka kuaminisha watu kwamba ni mtu wa data wakati source yako ni Mange Kimambi! Kama nadanganya source yako sio Mange Kimambi, weka hapa source yako!
 
Mzee umekalili madesa ya Saut na umeyamwaga kama yalivyo duuu!!!
kwanza mi sisomi saut wala sijui, itakuwa watu walivyo like sana hii post imekuuma sana ... lakini nikuhakikishie uelewa wangu ni mkubwa zaidi ya unavyofikiri , kwan ni wangapi walisoma taaluma mbalimbali lkn hawezi kueleza kitu? Go and reverse to My principle post and comments utajua nini namanisha kuhusu kuelewa vitu..!!!! Always I extend My knowledge at the horizon through accessing varities of articles,journals and novels and not "madesa" like you short sighted anticipate..!!
 
daaaahh hizi tetesi nilikuwa na zipuuzia lakini huu ni wakati wakuzipokea sasa " maana hata hiyo boat ni ya kusaga
Huyu Diamond wakati mwingine huwa simuelewi, yaani kilakitu anachotuaminisha anamiliki later inaonekana sio chake. Aangalie asije kuwa na mwisho mbaya, maana kwa pesa aliyoitengeneza kwenye sanàa ilipaswa awe walau na investment yake moja ya uhakika ya kumtunza nyota yake ya muziki itapofifia na si kudandia dandia tu
 
ni hatari sana mkuu " tatizo ana tumia gharama nyingi sana " kwaajili ya kufanya show off ".. imagine kila mwaka anafanya birthday party .. iwe ya watoto wake /ya kwake au ya members wa kampuni yao " anajikuta anatumia pesa nyingi mnoo " awe makini kwakweli yasije yakamkuta yale ya mc hummer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…