Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Je unajua hata watengenezaji wa karanga za chapa ya Diamond waliletwa nchini na Kusaga,shida huku uswazi watu wanaweka ligi wakati wenyewe mnaowawekea ligi ni marafiki na ndio maana kuna msemo wa ''pambana na hali yako''
 
Aiseee umechambua vizuri
 
Aiseee umechambua vizuri
Ok Mkuu, mimi ni marketing officer by professional!!! Kwa kuongezea kuna kitu tunaita product life cycle , ambapo hatua ya kwanza ni intriduction of the product...hi huja baada ya marketing strategic nyingi sana kufanyika.....hata mimi ningekuwa marketing manager wa WCB ningeshauri kuanzisha business conflict na mtu ambaye naona tuna offer the same product alaf anaonekana ni competitor mkubwa ili kufanya positioning tu!!!!!!!.....watu wa masoko ndio kazi zao lakini uku uraiani wabongo wanataka kutoana macho!!!!
 
Well nimekupata mkuu,hongera inaonekana upo vizuri kwenye hii field.
 
Hii vita ya clouds na mondi inanikumbusha ile vita ya zaman nikiwa bado mdogo sana ya clouds dhidi ya binti machozi. Hehe huwez shndana na media
 

Tantalila mingii.. Joe ndo mmiliki wa Wasafi TV, hao wengine wanatumika tu kuipromote..
 
Ngoja nisitie neno hapa nibakie mtazamaji tu nisije umbuka mbeleni
 
Hakuna bifu....watu wanapiga mpunga tu.
 
Tulio Soma uchumi tumekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…