Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu media na ndio maana sina mamlaka Wala maamuzi yoyote ya wasafi media"
#baba kasema
#baba kasema