Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

Mkuu binafsi nimeyajua leo kiwa mkewe ndiye mwenye hisa Wasafi Tv. Siku zote nilikuwa nikisikia Kusaga, Kusaga.
Mtaani ndo tunavyojua hivyo na ki ukweli "logically" ndio hivyo

Ila kisheria hapana ni watu tofauti na muandishi wa habari alipaswa kubana hapo. Angemuuliza umiliki wake akikataa angemuuliza umilikinwa mkewe angekataa anambana kwa documents za TCRA na tulishaipost humu mwaka juzi nadhani ngoja ntafute ule uzi
 
Back
Top Bottom