Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

Hawa watu jamani hivi hawana akili au kujitoa ufahamu hivi Mali ya Juhayna si ndo ya Joseph!!??Mavi yaoooo!
Ha ha ha... Mke wa Kusaga Juhayna ndiyo ana hisa Wasafi na Mdogo wake Kusaga... Sasa hapo unakua umetenganisha nini sasa?? Mke wa Kusaga ndiyo Kusaga mwenyewe,kajificha tu nyuma ya pazia... Na hizi beef za Clouds na Wasafi sio kwamba hajui,anajua sana na ukute yeye ndiyo anazipanga ili wapige mtonyo,mjini akili,kijijini nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae mbona mgumu kuelewa? Mwenye hisa ni mke wake. Hivyo technically Kusaga ndo mmiliki. Mzigo wa familia huo.

Ulitaka aseme ana smhisa pale??
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu media na ndio maana sina mamlaka Wala maamuzi yoyote ya wasafi media"

#baba kasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yote yako hapa. Source : Gazet la MwananchiView attachment 1290134
Screenshot_20191212-221102_Samsung%20Internet.jpeg
View attachment 1290135

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom