toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu media na ndio maana sina mamlaka Wala maamuzi yoyote ya wasafi media"
#baba kasema
ni kweli hana ila mkewe ndio anazo, tumia brain mzee baba daah
Sent from my iPhone using JamiiForums