Nafikiri mtakuwa mmepata majibu yake kwa wale ambao mnsmsingizia mzee wa watu.
Nafikiri mtakuwa mmepata majibu yake kwa wale ambao mnsmsingizia mzee wa watu.
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu media na ndio maana sina mamlaka Wala maamuzi yoyote ya wasafi media"
#baba kasema
We umejuaje amejificha nyuma ya pazia?Ha ha ha... Mke wa Kusaga Juhayna ndiyo ana hisa Wasafi na Mdogo wake Kusaga... Sasa hapo unakua umetenganisha nini sasa?? Mke wa Kusaga ndiyo Kusaga mwenyewe,kajificha tu nyuma ya pazia... Na hizi beef za Clouds na Wasafi sio kwamba hajui,anajua sana na ukute yeye ndiyo anazipanga ili wapige mtonyo,mjini akili,kijijini nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa umekuwa ukiwaita wenzako misukule lakini wewe ujioni kuwa na wewe pia ni msukule wa zari.Aiseee kwa style hii, mkiitwa misukule mnapanic
Numbisa umekuwa ukiwaita wenzako misukule lakini wewe ujioni kuwa na wewe pia ni msukule wa zari.
Kwani alpha na omega Babalao Dangote,mtoto wa Tandale,undefeated,uncomparable,tajiri mtoto,Diamond Platnumz ana maoni kani ktk hili???
Ili E fm apoteeHa ha ha... Mke wa Kusaga Juhayna ndiyo ana hisa Wasafi na Mdogo wake Kusaga... Sasa hapo unakua umetenganisha nini sasa?? Mke wa Kusaga ndiyo Kusaga mwenyewe,kajificha tu nyuma ya pazia... Na hizi beef za Clouds na Wasafi sio kwamba hajui,anajua sana na ukute yeye ndiyo anazipanga ili wapige mtonyo,mjini akili,kijijini nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app