Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

Yule Mzee mwenye kanzu na kifimbo ndiyo baba yake Alex Kusaga?
 
Ni ngumu kutenganisha Wenza,
Hata serikalini kwenye kutoa tamko la Mali za viongozi wanatakiwa kutaja pia Mali za wenza wao.
Kimsingi kusaga anadanganya live aache propaganda za kiccm
Sasa mnamlazimisha ?! Mtu amekataa na akasema Hana maamuz yyte , kuna watu vichwa maji Sana
 
Hawa watu jamani hivi hawana akili au kujitoa ufahamu hivi Mali ya Juhayna si ndo ya Joseph!!??Mavi yaoooo!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae mbona mgumu kuelewa? Mwenye hisa ni mke wake. Hivyo technically Kusaga ndo mmiliki. Mzigo wa familia huo.

Ulitaka aseme ana smhisa pale??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…