toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu media na ndio maana sina mamlaka Wala maamuzi yoyote ya wasafi media"
#baba kasema
Hivi neno la kiswahili "maamuma" maana yake nini?
interview ilitengenezwa , yaani wanafikiria watanzania wajinga sio waelewaJonijo alishindwa nini kumbana?
Hahaahaa😂😂😂mjini akili,kijijini nguvu
Kwani alpha na omega Babalao Dangote,mtoto wa Tandale,undefeated,uncomparable,tajiri mtoto,Diamond Platnumz ana maoni kani ktk hili???
Ha ha ha... Mke wa Kusaga Juhayna ndiyo ana hisa Wasafi na Mdogo wake Kusaga... Sasa hapo unakua umetenganisha nini sasa?? Mke wa Kusaga ndiyo Kusaga mwenyewe,kajificha tu nyuma ya pazia... Na hizi beef za Clouds na Wasafi sio kwamba hajui,anajua sana na ukute yeye ndiyo anazipanga ili wapige mtonyo,mjini akili,kijijini nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio msukule kama ile ya mfalme zumaridi.
Humu duniani ni rahisi sana kupiga hela maana misukule kama hii ni mingi mnoo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah I laughed hardKusaga sounded evasive, unintelligent, repetitive, boring and otherwise totally and intentionally less than you'd expect from your Average Joe (pun intended), of which, he's obviously not. He even required the presence of two big dumb old men to bolster his interview performance, but unfortunately, without any luck.
Kusaga sounded evasive, unintelligent, repetitive, boring and otherwise totally and intentionally less than you'd expect from your Average Joe (pun intended), of which, he's obviously not. He even required the presence of two big dumb old men to bolster his interview performance, but unfortunately, without any luck.
We unaweza kumbana boss wakoHayo ni matatizo ya "waandishi wetu wa habari/watangazaji" wengi bongo hawajui kufanya mahojiano.
Au hawataki kujishughulisha kuwa na taarifa sahihi za kuwabana wanaohojiwa
Toka lini haikua mkewake??Imekuwa mke wake tena!!??