Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Hivi ni kweli watanzani tu "wajinga" kiasi hiki, ama ni baadhi tu ya watu wanadhani sisi ni "wajinga"? Hivi Clouds (Kusaga) anakuwaje na bifu na WCB(Kusaga/Diamond)?
 
Jamaa ni mfanyabiashara wa kiwango cha juu, anamiliki
*clouds fm
*clouds tv
*clouds plus
*choice fm
*clouds tv RW
*WASAFI media wapo share na mke wake

Huyu jamaa ndio mengi ajaye [emoji91][emoji91]
Kakataa hamiliki hisa yoyote
 
Sikushangai ni matatizo ya Tecno yako
 
Misukule wa Domo, Simba, Yanga, Magufuli na Mbowe wote HAWANA AKILI.

Kutengeneza Kundi La Misukule Tanzania ni Rahisi Sana.
 
sawa
 
Dah na wewe ume comment


Basi sawa [emoji28][emoji28][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu watu wanachanganya sana haya mambo, Kusaga (mkewe) ana share kwenye media ya WASAFI na sio kwenye Label ya WASAFI. Yeye hana mamlaka yoyote yale juu ya wasanii wa WASAFI bali management ya WASAFI ndio wenye haki hiyo.

Sasa unavyoibuka kusema zote zake, wanatuchezea tu, unakuwa kombo. Maana Kusaga hawezi lazimisha nyimbo ya WASAFI ipigwe endapo Management yake imeweka pingamizi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja za kijinga ulizoziandaa kwa usongo. Wakati wenzio wanaendelea na michongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana kila mtu unamjua vizuri humu , sikiliza mdogo wangu maisha binafsi huwa atuyazungumzia humu , kinachojadiliwa humu ni HOJA ilioko mezani , sasa michongo kuna mtu alikuja kuomba chochote kwako ? acha unaa bobu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…