Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Diallo ni nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diallo ni nani??
Huyu jamaa ndio mengi ajae, sijui kama umenielewa hapo.Mengi si marehemu?
Kwamba ni marehemu ajaye?
Soma tena, kusaga ndio mengi ajae, soma tena najua una kichwa kigumu lakini utaelewa tuu.Kwamba ni marehemu ajaye?
MKuu sawa nimekubali.Soma tena, kusaga ndio mengi ajae, soma tena najua una kichwa kigumu lakini utaelewa tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa badoMKuu sawa nimekubali.
Mengi = marehemu mengi.
Kila nafsi itaonja Mauti.
Kusaga= next marehemu.
Puzzle solved.
Kakataa hamiliki hisa yoyoteJamaa ni mfanyabiashara wa kiwango cha juu, anamiliki
*clouds fm
*clouds tv
*clouds plus
*choice fm
*clouds tv RW
*WASAFI media wapo share na mke wake
Huyu jamaa ndio mengi ajaye [emoji91][emoji91]
Hako ka Numbisa huwa kazuzuTunadondosha HOJA nzito , mpaka umeishia kutuita misukule
Sikushangai ni matatizo ya Tecno yakoKusaga anawamalizia bando tuu wasafi/cloud wote ni wake wake walivyo wajanja wanajitengenezea ugomvi ili wakae masikioni mwa watu bifu la Domo na kibakuli ndo linalofanya watu wawategee masikio hata wee jaribu kugomba hata week na mkeo afu mje mpatane penzi huwa Lina update operation system zake
Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
Wewe una uingereza mwingi?
Kama vile wewe ulivyo msukule wa kibaMisukule wa Domo, Simba, Yanga, Magufuli na Mbowe wote HAWANA AKILI.
Kutengeneza Kundi La Misukule Tanzania ni Rahisi Sana.
sawaLabda mzazi wako ndo atakiri kosa kwako na kukuomba msamaha. Mzazi wa kiafrika anayejiamini akuombe wewe msamaha??? Eti kisa alikuchapa zamani bila kujua kosa?? Hauko serious wewe unaleta drama mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza mtoto mwenye adabu huwezi kukaa kumuuliza baba eti kwa nini ukinipiga bila makosa. Kwanza unaanzaje?
Mtoto mwenye adabu unatakiwa uende na baba yako ivo ivo na kama una akili nzuri pia huwezi ukakataa kumuhudimia (kulipa kisasi kwa baba yako) eti kisa alikuchapaga bila makosa huko zamani. Nina imani hata eewe uliyendika hapa huwezi kufanya huo undezi.
Kama Kusaga (mzazi) aligundua alikosea hapo nyuma mtoto (Wasafi) hakutakiwa kumwambia baba jieleze la sivyo sikuhudumii. Hiyo ni adabu ya wapi? Kwanza personally Diamond (kama kiongozi wa Wasafi) kumwambia Kusaga ajieleze ni kukosa adabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah na wewe ume commentLabda mzazi wako ndo atakiri kosa kwako na kukuomba msamaha. Mzazi wa kiafrika anayejiamini akuombe wewe msamaha??? Eti kisa alikuchapa zamani bila kujua kosa?? Hauko serious wewe unaleta drama mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza mtoto mwenye adabu huwezi kukaa kumuuliza baba eti kwa nini ukinipiga bila makosa. Kwanza unaanzaje?
Mtoto mwenye adabu unatakiwa uende na baba yako ivo ivo na kama una akili nzuri pia huwezi ukakataa kumuhudimia (kulipa kisasi kwa baba yako) eti kisa alikuchapaga bila makosa huko zamani. Nina imani hata eewe uliyendika hapa huwezi kufanya huo undezi.
Kama Kusaga (mzazi) aligundua alikosea hapo nyuma mtoto (Wasafi) hakutakiwa kumwambia baba jieleze la sivyo sikuhudumii. Hiyo ni adabu ya wapi? Kwanza personally Diamond (kama kiongozi wa Wasafi) kumwambia Kusaga ajieleze ni kukosa adabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana kila mtu unamjua vizuri humu , sikiliza mdogo wangu maisha binafsi huwa atuyazungumzia humu , kinachojadiliwa humu ni HOJA ilioko mezani , sasa michongo kuna mtu alikuja kuomba chochote kwako ? acha unaa bobuHoja za kijinga ulizoziandaa kwa usongo. Wakati wenzio wanaendelea na michongo.
Sent using Jamii Forums mobile app