ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Aulizwe mara ngapi ? Kaulizwa kwenye Barua mpaka leo akujibuHakuulizwa. Huenda angeulizwa jibu lake pia lingekuacha mdomo wazi. Unaweza kuta pia tatizo lilianzia WCB. Usi imagine bila kusikia wahusika mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo demu wangu nmemhonga iPhone Kama ya Dada yako tecno are the best on betry capacity it$ reason why I comment on ur rubbish comment sincely I grabbed it on charger yester up this time is abt 35percent are remaining jifanye sasa brand manager wa makampuni ya simu Tena unaonekana huna platform hujui kinachoendelea duniani haya last born kaoshe sahani na kijiko ukorome kwa kuchoka kuosha sahaniSikushangai ni matatizo ya Tecno yako
Anaonekana kwa majibu yakeHako ka Numbisa huwa kazuzu
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mbona lipo wazi mkuu nani asiyejua kuwa clouds walitaka kumpoteza mond kimuzikiKuna swali la msingi hapa anatakiwa alijibu na amelikwepa " Kwanini Mwanzo waliacha kuzipiga nyimbo za Wasafi?
Inawezekana ndio maana swali hili kujibika ni ngumu sanaHilo mbona lipo wazi mkuu nani asiyejua kuwa clouds walitaka kumpoteza mond kimuziki
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa umeandika nini mkuu?Wasafi si ya Kusaga. Alicia ushauri tu wa kuanzisha Kituo basiiiiΔ―i Kama alivyo fanya alipo Azisha Clouds Mzee Mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe kaufafanuzi kidogo bossSizani kama ataweza hili kama una muda nenda YouTube kwenye channel ya The MVP Lil Ommy ukaangalie ile Interview aliofanya na Adam Mchomvu ndio utaelewa tatizo liko wapi, sio kwa Kusaga.
Ukijua chimbuko la asili la Kusaga huwezi ongea ongea hovyo.Clouds sio media yake.... ni kampuni ya familia acha uongo....hivi nyinyi hizi habari za uongo huwaga mnazitoa wapi......?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mimi sioni kama WCB kama wamekosea kwani wasanii kibao wamebaniwa na CMG mara kibao.
Sugu mwenyewe nyimbo zake walikuwa hawapigi ,naye akaamua kuwaonyesha ,siku wanapiga show ya Fiesta Mbeya na yy akachukua wasanii,wakongwe na walio baniwa na CMG ,Sugu akajaza ,Fiesta ikawa na mapengo kibao.Baada ya vuguvugu kuwa zito Mbowe na Mchimbi wakamwomba Sugu wayamalize na CMG na ukawa mwisho wa beef.
Mameneja hawana uswahili bali wamefanya kama walivyofanya wao tofauti yao,CMG wameeanza wao wenzao wanamaliza.
Pili kwanini WCB na wala si Jide,Rama Dee,Mapacha,Suma G,Wagosi Wakaya ina maana hawa Kusaga kakataza nyimbo zao wasipige ila Karuhusu za WCB?
Huoni kama UNAFIKI na UBAGUZI,kama umeamua kupiga basi piga zote,kama umezuia basi zuia zote.
Unaanzisha beef alafu wenzako wakireact unaanza kutia huruma,we kama umeamua kukaza kaza.
Mondi alishatoa sababu wakati akifanya intvw na Lil Ommy,Clouds kwake kaona haina haja ya kufanya nao biashara sababu kwake kaona hamna maslahi,so huwezi kumlaumu sababu biashara yake yy ndio anayejua katumia kiasi gani.Na kwa nini Clouds na si EATV, EFM, na media zingine ambazo hawapigi nyimbo za WCB? Na kwani WCB nyimbo zake hazipigwi Clouds tu?? Wote wana matatizo yao. Ila tatizo la mmoja linaonekana kubwa na la kijinga zaidi asipokubali kukubali tatizo lake na kusuluhisha kuanza upya. Huo ndo uswahili tunaosema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtupu wao wasijifanye kuamua walitakalo wafuate taratibu husikaSasa Uswahili wao hapo upo wapi?! Kama ni tuhuma za Clouds kuwabania wasanii ni tuhuma ambazo zipo miaka nenda rudi sasa! Au Uswahili wao ni kutaka Clouds waandike barua waeleze ni kwanini waliacha kupiga hizo nyimbo?! Kama ndivyo, wewe unaona sawa tu Clouds wawe wanaamua wenyewe wakitaka kupiga ngoma za msanii wanapiga, na wasipotaka, wanapiga pini tu bila kutoa maelezo yoyote?! Yaani wawe wanaamua tu watakavyo wawe; kwamba sasa hatupigi, na sasa tunapiga!!!
Domo alisema haitaji media zipige nyimbo zake ndio watu wakaacha kupiga nyimbo zake, before kusema hivyo wakati huo sk alikuwa amepanga kumdhaliisha marehemu Ruge ndio beef likaivia hapo. Lakini ukiangalia jana alichosema Jo kupitia The Bar Tender nikwamba aliwaambia team yake ya clouds kupiga nyimbo za wasafi ilikuondoa tofauti iliopo katiyao. clouds walitaka kupiga nyimbo ya mboso uwongozi wa wasafi ukawambiia walikuwa wapi miaka 5 iliopita wasipige Jo akambiwa aandike barua kuomba kupiga nyimbo za wasafi kitu ambacho Jo aliona ni fedhea na kujidhalilisha kufanya kitu kama hicho. Ninachokiona mm tatizo sio domo tatizo domo anaendeshwa na sk ndio anapeleka vitu ovyo.
Ndvyo mange anawadanganyaga hvyo? Njoo na factsHapo anaenda kufanya interview tuu kwenye kituo chake kama anavyofanyaga clouds
Mimi dogo?ππ sasa huyo demu wako uliyemuhonga iPhone imekuwaje umpe simu ghali, small in size, easy to cary na yenye maana alafu wewe unatumia camera and big in size?ππDogo demu wangu nmemhonga iPhone Kama ya Dada yako
BWAHAHAHAHAHA lol! STFU tecno better in what? Those annoying glitches phones screen does what it wants after a year are better?tecno are the best on betry capacity
it$ reason why I comment on ur rubbish comment sincely I grabbed it on charger yester up this time is abt 35percent are remaining
You're an idiot if think that!jifanye sasa brand manager wa makampuni ya simu Tena unaonekana huna platform hujui kinachoendelea duniani haya last born kaoshe sahani na kijiko ukorome kwa kuchoka kuosha sahani
Tecno L6 ππππππππππππππππππππππππ aibu hii ndio maana hata akili zako zimekaa ki TecnoSent from my TECNO LC6 using Tapatalk
Nadhani mtu sahihi wa kujibu hili alikuwa Luge mkuu.Kuna swali la msingi hapa anatakiwa alijibu na amelikwepa " Kwanini Mwanzo waliacha kuzipiga nyimbo za Wasafi?