Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Sikushangai ni matatizo ya Tecno yako
Dogo demu wangu nmemhonga iPhone Kama ya Dada yako tecno are the best on betry capacity it$ reason why I comment on ur rubbish comment sincely I grabbed it on charger yester up this time is abt 35percent are remaining jifanye sasa brand manager wa makampuni ya simu Tena unaonekana huna platform hujui kinachoendelea duniani haya last born kaoshe sahani na kijiko ukorome kwa kuchoka kuosha sahani

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Sio Kweli. Kwa nini watu awaamini kuwa ni Ya Diamond. Sasa Amekana na Kukiri ni ya Diamond yeye Kusaga.Kwisha
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa nini Clouds na si EATV, EFM, na media zingine ambazo hawapigi nyimbo za WCB? Na kwani WCB nyimbo zake hazipigwi Clouds tu?? Wote wana matatizo yao. Ila tatizo la mmoja linaonekana kubwa na la kijinga zaidi asipokubali kukubali tatizo lake na kusuluhisha kuanza upya. Huo ndo uswahili tunaosema.
Kwangu mimi sioni kama WCB kama wamekosea kwani wasanii kibao wamebaniwa na CMG mara kibao.

Sugu mwenyewe nyimbo zake walikuwa hawapigi ,naye akaamua kuwaonyesha ,siku wanapiga show ya Fiesta Mbeya na yy akachukua wasanii,wakongwe na walio baniwa na CMG ,Sugu akajaza ,Fiesta ikawa na mapengo kibao.Baada ya vuguvugu kuwa zito Mbowe na Mchimbi wakamwomba Sugu wayamalize na CMG na ukawa mwisho wa beef.

Mameneja hawana uswahili bali wamefanya kama walivyofanya wao tofauti yao,CMG wameeanza wao wenzao wanamaliza.

Pili kwanini WCB na wala si Jide,Rama Dee,Mapacha,Suma G,Wagosi Wakaya ina maana hawa Kusaga kakataza nyimbo zao wasipige ila Karuhusu za WCB?

Huoni kama UNAFIKI na UBAGUZI,kama umeamua kupiga basi piga zote,kama umezuia basi zuia zote.

Unaanzisha beef alafu wenzako wakireact unaanza kutia huruma,we kama umeamua kukaza kaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa nini Clouds na si EATV, EFM, na media zingine ambazo hawapigi nyimbo za WCB? Na kwani WCB nyimbo zake hazipigwi Clouds tu?? Wote wana matatizo yao. Ila tatizo la mmoja linaonekana kubwa na la kijinga zaidi asipokubali kukubali tatizo lake na kusuluhisha kuanza upya. Huo ndo uswahili tunaosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mondi alishatoa sababu wakati akifanya intvw na Lil Ommy,Clouds kwake kaona haina haja ya kufanya nao biashara sababu kwake kaona hamna maslahi,so huwezi kumlaumu sababu biashara yake yy ndio anayejua katumia kiasi gani.

EATV tuzo zile Mondi alikataa kushiriki,sababu aliona kulikuwa na kampeni za kumtaka kumshusha kupitia zile tuzo.

EFM sijawahi kumsikia akiliongelea,ila nimesikia tetesi sababu inawezekana ikawa Hamisa (hawala hana talaka, inawezeka na wote walikuwa wanapiga kisela).

Sasa wewe jiulize kwa nini Jide,Suma G,Rama dee,Mapacha,Sugu,Ruby,Wagosi wa Kaya,hawa wote waliwahi kubaniwa na Clouds na CMG hawajawahi kutoa sababu.

Pili jiulize TZ kuna redio zaidi ya 105 mbona wenzao hawabagui wasanii,kwa nini kila siku wao ndio waana lalamikiwa na wasanii.
 
Sasa Uswahili wao hapo upo wapi?! Kama ni tuhuma za Clouds kuwabania wasanii ni tuhuma ambazo zipo miaka nenda rudi sasa! Au Uswahili wao ni kutaka Clouds waandike barua waeleze ni kwanini waliacha kupiga hizo nyimbo?! Kama ndivyo, wewe unaona sawa tu Clouds wawe wanaamua wenyewe wakitaka kupiga ngoma za msanii wanapiga, na wasipotaka, wanapiga pini tu bila kutoa maelezo yoyote?! Yaani wawe wanaamua tu watakavyo wawe; kwamba sasa hatupigi, na sasa tunapiga!!!
Umeongea ukweli mtupu wao wasijifanye kuamua walitakalo wafuate taratibu husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe kaufafanuzi kidogo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Domo alisema haitaji media zipige nyimbo zake ndio watu wakaacha kupiga nyimbo zake, before kusema hivyo wakati huo sk alikuwa amepanga kumdhaliisha marehemu Ruge ndio beef likaivia hapo. Lakini ukiangalia jana alichosema Jo kupitia The Bar Tender nikwamba aliwaambia team yake ya clouds kupiga nyimbo za wasafi ilikuondoa tofauti iliopo katiyao. clouds walitaka kupiga nyimbo ya mboso uwongozi wa wasafi ukawambiia walikuwa wapi miaka 5 iliopita wasipige Jo akambiwa aandike barua kuomba kupiga nyimbo za wasafi kitu ambacho Jo aliona ni fedhea na kujidhalilisha kufanya kitu kama hicho. Ninachokiona mm tatizo sio domo tatizo domo anaendeshwa na sk ndio anapeleka vitu ovyo.
 
Dogo demu wangu nmemhonga iPhone Kama ya Dada yako
Mimi dogo?😝😝 sasa huyo demu wako uliyemuhonga iPhone imekuwaje umpe simu ghali, small in size, easy to cary na yenye maana alafu wewe unatumia camera and big in size?😝😝
.
Nani alikudanganya kila mwanaume ana dada?

tecno are the best on betry capacity
it$ reason why I comment on ur rubbish comment sincely I grabbed it on charger yester up this time is abt 35percent are remaining
BWAHAHAHAHAHA lol! STFU tecno better in what? Those annoying glitches phones screen does what it wants after a year are better?
Poor in network 😝😝 perhaps ungesema kuhusu big screens and camera ungeeleweka.

jifanye sasa brand manager wa makampuni ya simu Tena unaonekana huna platform hujui kinachoendelea duniani haya last born kaoshe sahani na kijiko ukorome kwa kuchoka kuosha sahani
You're an idiot if think that!

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
Tecno L6 😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝 aibu hii ndio maana hata akili zako zimekaa ki Tecno
 
Back
Top Bottom