Kwangu mimi sioni kama WCB kama wamekosea kwani wasanii kibao wamebaniwa na CMG mara kibao.
Sugu mwenyewe nyimbo zake walikuwa hawapigi ,naye akaamua kuwaonyesha ,siku wanapiga show ya Fiesta Mbeya na yy akachukua wasanii,wakongwe na walio baniwa na CMG ,Sugu akajaza ,Fiesta ikawa na mapengo kibao.Baada ya vuguvugu kuwa zito Mbowe na Mchimbi wakamwomba Sugu wayamalize na CMG na ukawa mwisho wa beef.
Mameneja hawana uswahili bali wamefanya kama walivyofanya wao tofauti yao,CMG wameeanza wao wenzao wanamaliza.
Pili kwanini WCB na wala si Jide,Rama Dee,Mapacha,Suma G,Wagosi Wakaya ina maana hawa Kusaga kakataza nyimbo zao wasipige ila Karuhusu za WCB?
Huoni kama UNAFIKI na UBAGUZI,kama umeamua kupiga basi piga zote,kama umezuia basi zuia zote.
Unaanzisha beef alafu wenzako wakireact unaanza kutia huruma,we kama umeamua kukaza kaza.