Amesema ili mziki uendelee bifu ziishe Kati ya media moja na nyingine.
Weka hapa % za hisa anazomiliki domo tuone,na sio porojo nyingi.Apa tuelewane kitu kimoja.Neno WASAFI tu ni zaidi ya hisa 30% ya hiyo media.Hilo neno ni gharama sana.Ni brand kubwa.So kwa upande wangu..Domo ndio mwenye power zaidi.
Ufanisi ni huo msuguanoKumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sibitisha usemalo bila hvyo na ww huna tofauti na sisiClouds sio media yake.... ni kampuni ya familia acha uongo....hivi nyinyi hizi habari za uongo huwaga mnazitoa wapi......?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona umeamua kumtukana mwamba kiainaAkizipatanisha hawezi kuwapata watu wasiofikiri ambao ndio wengi nchi hii.Sijui kuhusu wewe mkuu,ila ujue wenzio wako mbali sana kibiashara.
Ni sawa na kusema uwapatanishe wapenzi wa yanga na Simba ili wawe kitu kimoja,unadhani watafanyaje biashara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajajibu swali Kusaga " Kipi kiliwafanya wasipige nyimbo za wasafi ? hili swali ajajibu