[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao uliowataja nyimbo zao hazipigwi popote kwasababu ni za zamani labda watoe mpya au wakae wasubiri kipindi cha old is gold.Vp kuhusu wasanii wengine kama 20%,jide,dudubaya nao walukataa nyimbo zao zisipigwe clouds? Hebu weka pembeni roho ya chuki na wivu halafu tumia walau dakika mbili tu uvute kumbukumbu kuhusu clouds na kasumba zao.je ni wcb ndio waliokataa nyimbo zao kupigwa clouds toka awali au ni clouds ndio walioanza kutopiga nyimbo za wasanii wa wcb?Yaan haters mnashida sana.
Kama amekosa majibu waendelee na msimamo wao ule ule , mbona wasafi bila Clouds maisha yanaenda tu , kila mtu afe kivyake kama maswali hayana majibu
Acha hizo dudubaya katoa nyimbo na Niki mbishi inaitwa POKEA SIMU vip Clouds wanaipiga ?au uzamani unamaanisha nini ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao uliowataja nyimbo zao hazipigwi popote kwasababu ni za zamani watoe mpya au wakae wasubiri kipindi cha old is gold.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa mtu mzima kweli asingekubali ujinga huu wa kususia nyimbo za wasafi zisipigwe , kitendo cha kukaa kimya kwa Zaidi ya Mwaka mzima alafu leo ubadili msimamo baada ya kuona vijana wako Imara huu ni undumi la kuwili , wasafi management wana haki zote za kuomba majibu na kupewa majibu sababu gani mwanzo haikufaa na sababu gani sasa imefaa, Utu uzima sio kigezo cha kuachwa ufanye upuuziI second you, sifikirii kama ilikuwa sawa kumwambia kusaga na Clouds kuandika barua kujieleza kwanini hawakuwa wanapiga nyimbo zao.....
Mtu mzima kakaa chini kafikiri kuwa pengine sio sawa kutopiga nyimbo za wasanii husika na yeye kama mwenye media kaona sio sawa.... sasa kumwambia aandike barua kujieleza ni ujinga kabisa na kutafuta na kuendeleza mabifu yasiyo na msingi wowote ule hapa wamekosea lazima tukubali
Ukikua utaacha kijana.Usinifundishe maisha mdogo wangu , huruma hii unatakiwa uwaonee familia yako wanaokutegemea huko kwenu , hapa JF lazima pumba na mchele ziwekwe wazi hakuna janja janja hapa
Tunadondosha HOJA nzito , mpaka umeishia kutuita misukule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]misukule ya wcb inatoa povu aiseee
aliekua saa hizi amelala , kama tuko wote basi tunalingana umri , ila huruma ionee familia yako uwatoe kwenye dhiki , mimi ni mpita njia tu nisikushughulishe
HAPA NDIPO WALIPOHOJI WCB ILIKUAJE MLISITA KUPIGA HUKO NYUMA NA SASA MUMEANZA.....NADHANI WALISTAHIKI KUJUA TATIZO LAO NIKITU AMBACHO SIO KOSA KUHOJIAjajibu swali Kusaga " Kipi kiliwafanya wasipige nyimbo za wasafi ? hili swali ajajibu
Tunadondosha HOJA nzito , mpaka umeishia kutuita misukule
Umeamua kujifurahisha ni jambo jema kwa afya yako , ila HOJA zetu ni nzito sanaKila day nawaita misukule.
Na hapa ndipo kusaga alipopuyanga na kukimbia kujibuHAPA NDIPO WALIPOHOJI WCB ILIKUAJE MLISITA KUPIGA HUKO NYUMA NA SASA MUMEANZA.....NADHANI WALISTAHIKI KUJUA TATIZO LAO NIKITU AMBACHO SIO KOSA KUHOJI
Haya mabifu hayana maana kabisa hakuna linalokosa mwisho ni mmoja kujishusha maisha yaendelee
Tumeona Clouds wakitimiza miaka 20 ya burudani pale Uwanja wa Uhuru
Kwa Media inayochipukia kama Wasafi natamani nayo ije ifike huko isije ikaja poteza muelekeo huko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhhh,Kwel?Nyimbo za wasafi hazipigwi EATV, EARADIO, EFM
Na sio kwamba wasafi ndio sijui nini
Huyohuyo kusaga ndio anaemiliki wasafi, Diamond katoa jina wasafi kusaga kaweka mzigo wameanzisha media.
Na kusaga ndio kaamua wasafi miziki yao isipigwe kwwnye baadhi ya radio ili mashabiki wa wcb wakitaka kuisikilza watune wasafi radio/TV ili kuipaisha, na kafanikiwa kwa hilo.
Jamaa ana akili nyingi sana huyo anacheza na akili za watu
Sent using my oneplus 7T
Kuna swali la msingi hapa anatakiwa alijibu na amelikwepa " Kwanini Mwanzo waliacha kuzipiga nyimbo za wasafi ?