Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Vp kuhusu wasanii wengine kama 20%,jide,dudubaya nao walukataa nyimbo zao zisipigwe clouds? Hebu weka pembeni roho ya chuki na wivu halafu tumia walau dakika mbili tu uvute kumbukumbu kuhusu clouds na kasumba zao.je ni wcb ndio waliokataa nyimbo zao kupigwa clouds toka awali au ni clouds ndio walioanza kutopiga nyimbo za wasanii wa wcb?Yaan haters mnashida sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao uliowataja nyimbo zao hazipigwi popote kwasababu ni za zamani labda watoe mpya au wakae wasubiri kipindi cha old is gold.

Hayo maswala ya chuki sijui haters utakuwa unajichosha bure tu kwasababu ya mahaba.

Huyo ni Clouds tu leo katoa maelezo, bado kuna EATV, EFM nk wote hawapigi nyimbo za WCB jiulize kwanini.

Meneja kichwa maji ni kichwa maji tu hana muda wa kujirudi hata akigundua makosa yake.

Hao clouds huenda wamegundua shida yao iko wapi wakaamua kujirudi na kupiga nyimbo za wcb sasa gafla wanapokea barua ya menejiment inayoonyesha mlengo wa kuendeleza mvutano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi Mchambuzi,
I second you, sifikirii kama ilikuwa sawa kumwambia kusaga na Clouds kuandika barua kujieleza kwanini hawakuwa wanapiga nyimbo zao.....
Mtu mzima kakaa chini kafikiri kuwa pengine sio sawa kutopiga nyimbo za wasanii husika na yeye kama mwenye media kaona sio sawa.... sasa kumwambia aandike barua kujieleza ni ujinga kabisa na kutafuta na kuendeleza mabifu yasiyo na msingi wowote ule hapa wamekosea lazima tukubali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao uliowataja nyimbo zao hazipigwi popote kwasababu ni za zamani watoe mpya au wakae wasubiri kipindi cha old is gold.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo dudubaya katoa nyimbo na Niki mbishi inaitwa POKEA SIMU vip Clouds wanaipiga ?au uzamani unamaanisha nini ?
 
I second you, sifikirii kama ilikuwa sawa kumwambia kusaga na Clouds kuandika barua kujieleza kwanini hawakuwa wanapiga nyimbo zao.....
Mtu mzima kakaa chini kafikiri kuwa pengine sio sawa kutopiga nyimbo za wasanii husika na yeye kama mwenye media kaona sio sawa.... sasa kumwambia aandike barua kujieleza ni ujinga kabisa na kutafuta na kuendeleza mabifu yasiyo na msingi wowote ule hapa wamekosea lazima tukubali
Angekuwa mtu mzima kweli asingekubali ujinga huu wa kususia nyimbo za wasafi zisipigwe , kitendo cha kukaa kimya kwa Zaidi ya Mwaka mzima alafu leo ubadili msimamo baada ya kuona vijana wako Imara huu ni undumi la kuwili , wasafi management wana haki zote za kuomba majibu na kupewa majibu sababu gani mwanzo haikufaa na sababu gani sasa imefaa, Utu uzima sio kigezo cha kuachwa ufanye upuuzi
 
Haya mabifu hayana maana kabisa hakuna linalokosa mwisho ni mmoja kujishusha maisha yaendelee

Tumeona Clouds wakitimiza miaka 20 ya burudani pale Uwanja wa Uhuru

Kwa Media inayochipukia kama Wasafi natamani nayo ije ifike huko isije ikaja poteza muelekeo huko mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mabifu hayana maana kabisa hakuna linalokosa mwisho ni mmoja kujishusha maisha yaendelee

Tumeona Clouds wakitimiza miaka 20 ya burudani pale Uwanja wa Uhuru

Kwa Media inayochipukia kama Wasafi natamani nayo ije ifike huko isije ikaja poteza muelekeo huko mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa boss. Wasafi ni wachanga sana tukifananisha na Clouds. Natamani nao wakue waje kua redio kubwa. Ujue kua na radio moja au mbili ambazo zina hit ndio chanzo cha wasanii kuanza kulalamika kwamba nyimbo zetu hazipigwi (Monopoly)

Unakumbuka zamani unaambiwa ili wimbo wako upewe airtime kwenye redio au uingie top 10 au 20 za Ijumaa lazima umuonge DJ au mtangazaji wa redio flani? Ni kwakua redio zilikua chache.

Ila saizi Dar tu redio kibao hapa EFM, Wasafi, Clouds, Radio One mikoani uko Ebony FM, Abood, RFA etc. Bado wasanii wanapata promo/wanajitangaza Youtube, Insta, FB etc.

Kwa kifupi sisi kama mashabiki tusijenge visa sisi kwa sisi, tuwape support wasanii wetu na redio zetu, haya maneno yawe mdomoni na jukwaani tu ila kama sippor tuwape Aisee.

Clouds imewasaidia wasanii wengi sana. Akiwepo Diamond mwenyewe. Ambae baadae nae kupitia WCB kawatoa wasanii wengi tena.
 
Nyimbo za wasafi hazipigwi EATV, EARADIO, EFM

Na sio kwamba wasafi ndio sijui nini

Huyohuyo kusaga ndio anaemiliki wasafi, Diamond katoa jina wasafi kusaga kaweka mzigo wameanzisha media.

Na kusaga ndio kaamua wasafi miziki yao isipigwe kwwnye baadhi ya radio ili mashabiki wa wcb wakitaka kuisikilza watune wasafi radio/TV ili kuipaisha, na kafanikiwa kwa hilo.

Jamaa ana akili nyingi sana huyo anacheza na akili za watu

Sent using my oneplus 7T
 
Mmhhh,Kwel?
 
Back
Top Bottom