Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

hata kama aligundua since day one, hata baada ya miaka 3 ndiyo awe amegundua means ameona tatizo lipo kwao ndiyo maana katoa amri nyimbo zipigwe, sasa mwenye mali kaamua zipigwe alafu Babu Tale anataka Kusaga amuandikeie burua ya maelezo kweli??
Of course waeleze sababu kwanini waliacha kupiga! Sasa kama waliacha kupiga kwavile Diamond au yeyote within WCB alifanya kosa lililowafanya Clouds wapige pini ngoma zao; sasa wasipotaja sababu za kuacha kupiga, hilo kosa si linaweza kurudiwa tena na kuendelea kupigwa pini tena na tena huku mara zote ukiwa hujui sababu kwa sababu muhusika, kwa kiburi tu hataki kutoa sababu, na hivyo kujipa mamlaka mwenyewe ya kukupiga pini anapotaka na kukufungulia anapotaka yeye bila kutoa sababu!!!
 
Umeongea pumba Sana.
 
Mbona hawajampa airtime Qboy msafi, Harmonize au Rich Mavoko ...


Msiyoyajua ni sawa na usiku wa giza...


Au mbona hawawafanyii interview watangazaji wa clouds. Najua utakuwa umeona tatizo lilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Q boy msafi juzi tu alikua refresh hapo au umemeza
Harmonize ni kinyago cha diamond hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusaga ameshasema hajibu barua wala haelezi chochote full stop.
 
Mfano mzuri ni Rama Dee walipatana na clouds baadae wakampiga pini Tena ngoma yake nibebe wakawa hawapigi.
 
Hili swali anaetakiwa kulijibu hayupo Ambae ni Ruge,.
Lilipaswa kujibiwa kwenye barua waliyoandikiwa na WCB. Wamekaa miaka mitano bila kupiga nyimbo za WCB halafu ghafla tu wanaanza kupiga, ina maana hiyo miaka yote hawakuona kama WCB wana nyimbo zinazopaswa kupigwa na media yao?
 
Ikumbukwe mke wa Kusaga ni mmiliki mwenza wa WCB media technically Kusaga ndio mmiliki wa hizo media mbili tusiwaamini sana mabepari na wanasiasa
 
Kusaga ameshasema hajibu barua wala haelezi chochote full stop.
FULL STOP?! Kwani si ni Kusaga mwenyewe ndie alitaka waanze kupiga ngoma za WCB?! Hiyo Full stop hapo haiingii kwa sababu hakuna ambae alienda kumwomba! Nadhani mpo disappointed kuona mtu mnayesema ndie boss wa Diamond lakini kakaziwa kupiga nyimbo za Diamond na wasanii wengine walio chini ya label anayoongoza!! Sidhani kama unaamini Diamond alitaka zipigwe lakini akina Tale ndo wakakaza! Ukiona management ya WCB ilikaza, basi ama ni Diamond mwenyewe ndie alitaka waendelee kukaza hadi wajieleze au alibariki!!!
 
Ikumbukwe mke wa Kusaga ni mmiliki mwenza wa WCB media technically Kusaga ndio mmiliki wa hizo media mbili tusiwaamini sana mabepari na wanasiasa
Kwanini technically mmiliki awe Kusaga wakatu umeshasema mke wake ndie mmiliki mwenza?! Kwamba huyo mke wa Kusaga hawezi kuwa na hiyo pesa, au?!
 
Kwanini technically mmiliki awe Kusaga wakatu umeshasema mke wake ndie mmiliki mwenza?!
1.Socially: Ukimmiliki mke unammiliki yeye na vyote vilivyomo ndani yake
2.Economically: kwenye political economy ya ulimwengu wa kibepari umiliki vivuli ni kawaida sana ili kuondoa mgongano wa maslahi kwa partiners na pia kuwachanganya wateja
 
1.Socially: Ukimmiliki mke unammiliki yeye na vyote vilivyomo ndani yake
2.Economically: kwenye political economy ya ulimwengu wa kibepari umiliki vivuli ni kawaida sana ili kuondoa mgongano wa maslahi kwa partiners na pia kuwachanganya wateja
Uliyosema yote ni kweli lakini pia tusisahau kwamba:-
1. Mke wa Kusaga ni Mwislamu! Na inasemekana Kusaga nae ni Mwislamu (alisilimu kwa ajili ya huyu mwanamke)! So, publicly, usemayo ni kweli lakini unapokuja kwenye sheria za Kiislamu, ndo na mali haviendi pamoja! Kwamba, assume ni kweli 53% ZOTE ni mali ya mke wa Kusaga personally, kwa mujibu wa Sheria za Kiislamu hiyo mali hapo Kusaga hana chake unless mke awe amekufa naye apate urithi!

2. Kwamba umiliki vivuli ni kawaida ni kweli pia lakini pia usisahau kwamba mke wa Kusaga anatoka familia bora, na ndo maana haishangazi kusikia Kusaga alisilimu kwa ajili ya huyo mwanamke! Na kwavile anatoka familia bora, inawezekana ni kweli yeye ni kivuli tu lakini pia inawezekana nae anamiliki kiasi cha hizo hisa!!
 
Nimekupata babutale

Sent using my oneplus 7T
 
Wewe ndio umeusoma mchezo sasa

Sent using my oneplus 7T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…