Kusaga: Tunakoelekea radio nyingi zitafungwa

Kusaga: Tunakoelekea radio nyingi zitafungwa

😂😂😂Tbc inapata kila kitu ila haina wasikilizaji.

Uchawa umewaua kabisa media za bongo
Angalia kwanza kamera wanazo tumia utazani tupo mwaka sabini halafu anatokea mshamba mmoja anakwambia radio na televisheni zinakwenda kupotea hawaangalii hata chanzo cha yote hayo
 
zifungwe tu tuone ccm itatumia nn mana wanaufaika wa tasaf sidhani kama wataweza fikia mitandao yakijamii
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group anabainisha kuwa vyombo vya habari vya asili vinakabiliwa na hatari kubwa ya kufungwa kutokana na mabadiliko ya teknolojia.

Anaeleza kuwa mitandao ya kijamii imepokonya soko la matangazo, hali inayofanya redio na televisheni nyingi kushindwa hata kumudu gharama za uendeshaji. Ili kunusuru sekta hii, anapendekeza kuwa serikali itoe ruzuku au msaada maalumu kama inavyofanyika katika nchi nyingine zilizoendelea.

Tulipofika sasa kwenye upande wa traditional media, redo nyingi sana zitafungwa kabisa kabisa."

Clouds unaweza ukasema imejitahidi, hizo media nyingine naona ya huruma sana... yaani hata tu meetend zile za kawaida za kila siku wengine hata umeme hawana mara nyingine."

Redio nyingi zinapiga singeli, taarabu na nyimbo nyingine za matusi. Hazina watangazaji walioenda shule; wanategemea watangazaji mashoga akina Juma Lokole. Kwanini zisife?
 
Toka kila chombo cha habari vya Mainstream viingie kwenye Kamari... nilijua kwisha kazi...ila ndio ukweli kutokana na mabadiliko ya teknolijia na too much censorship kutoka kwa regulative authorities kama BASATA na TCRA leo hii habari ya kwenye mtandao kama Jamiiforum unaipata,
1. Mapema
2. Kama ilivyo (Haijapikwa)
3. Convenience (Yaani kiulani huutaji Dishi wala Antenna na unaipata on the Go.

Nyie kina Fulani endeleeni na michezo super yenu na kusubiri hela za CCM za campaign.

Sasa Hivi kituo kinachoheshimika kwa habari zilizonyooka ni BBC Swahili na vyombo vingine vya kimataifa. Hivi vingine ni mapambio tu.
 
Ni kweli digital imewezesha usambazaji wa content kwa masoko lengwa (niche). Lakini ni kujidanganya kutokiri tofauti kubwa iliyopo kwenye ubora wa maudhui kwenye dunia hizi mbili. Kwanza asilimia ya walaji wenye meaningful internet access inayoruhusu kufaidi digital kikamilifu sio material enough kusema ndio chanzo kikuu cha kifo cha vyombo vya habari vya redio na TV.
 
Mzee wetu mbona anaanza kuzeeka vibaya, wapewe ruzuku ya nini badala ya kuendana na mabadiliko ya teknolojia?? Wawekeze online watakuta watu huko.
Mitandao ya simu nayo ianze kuomba ruzuku kwa mapato yao ya SMS na Voice yakishuka kutokana na uwepo wa whatsapp??!!
 
Kikubwa ni radio nyingi kukumbiwa n wackilizaji baada ya kua chini ya CCM kipi kiruke na kipi kisiruke. Na mbaya sana ni baada y uchaguzi. Wakale lumumba
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group anabainisha kuwa vyombo vya habari vya asili vinakabiliwa na hatari kubwa ya kufungwa kutokana na mabadiliko ya teknolojia.

Anaeleza kuwa mitandao ya kijamii imepokonya soko la matangazo, hali inayofanya redio na televisheni nyingi kushindwa hata kumudu gharama za uendeshaji. Ili kunusuru sekta hii, anapendekeza kuwa serikali itoe ruzuku au msaada maalumu kama inavyofanyika katika nchi nyingine zilizoendelea.

Tulipofika sasa kwenye upande wa traditional media, redo nyingi sana zitafungwa kabisa kabisa."

Clouds unaweza ukasema imejitahidi, hizo media nyingine naona ya huruma sana... yaani hata tu meetend zile za kawaida za kila siku wengine hata umeme hawana mara nyingine."

Zifungwe, zimeamua kuwa chawa, tunapata habari tweeter na ticktok.

Watu wanao lipia decoder sijui huwa wa aangalia kitu gani.

Habari tunajitafutia , hizo za maredio na TV mmetuonea kwa maiaka
 
Mzee wetu mbona anaanza kuzeeka vibaya, wapewe ruzuku ya nini badala ya kuendana na mabadiliko ya teknolojia?? Wawekeze online watakuta watu huko.
Mitandao ya simu nayo ianze kuomba ruzuku kwa mapato yao ya SMS na Voice yakishuka kutokana na uwepo wa whatsapp??!!
Hiyo Radio ilikua inapewa hela kinyemela enzi za Ruge, kuwa vuruga vijana kwa matamasha
 
Back
Top Bottom