Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group anabainisha kuwa
vyombo vya habari vya asili vinakabiliwa na hatari kubwa ya kufungwa kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
Anaeleza kuwa
mitandao ya kijamii imepokonya soko la matangazo, hali inayofanya redio na televisheni nyingi kushindwa hata kumudu gharama za uendeshaji. Ili kunusuru sekta hii, anapendekeza kuwa
serikali itoe ruzuku au msaada maalumu kama inavyofanyika katika nchi nyingine zilizoendelea.
Tulipofika sasa kwenye upande wa traditional media, redo nyingi sana zitafungwa kabisa kabisa."
Clouds unaweza ukasema imejitahidi, hizo media nyingine naona ya huruma sana... yaani hata tu meetend zile za kawaida za kila siku wengine hata umeme hawana mara nyingine."