Kusaga: Tunakoelekea radio nyingi zitafungwa

Content zenu pia zinachangia kifo chenu...kila muda mmeweka uchambuzi wa mpira tu ilhali nchi ina matatizo na issue kibao za kuzungumza!

Just imagine saa moja asubuh unaenda job ukiweka redio ni uchambuzi wa mpira..frankly inakera sana!
 
Kwani Clouds nao wameshindwa nini kupambana kwenye new media?
 
Hatutazimiss,
Zimetumika vibaya sana
 
Kinacho ua traditional media hapa Tanzania siyo tekinolojia wala online media. Ni kunyimwa uhuru wa habari. Traditional media zimejaa content za uchawa, zinashindwa kuweka mijadala ya nguvu yenye hoja na watu wenye ueledi kwa sababu wanaogopa kufungiwa na serikali.

Hivyo wasikilizaji wanaona hakuna faida kutazama au kusikiliza content za uchawa na magumzo yenye mijadala finyu.

Wao badala ya kuomba ruzuku, waombe uhuru wa habari.
 
Mtangazaji wenu alipouwawa online media ndiyo zilitupa habari bora mfilisike kabisa hamba maana yoyote.
 
Watu wanajificha kwenye kichaka cha teknolojia,

Ila ukweli ni kuwa MAUDHUI NDIO MFALME bila kujali yanapatika kwa njia gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…