Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha! Anatafuta kutoka zaidi kwa nguvuStressful individuals
Mziki anajua ni kweli - Tatizo mziki wa Bongo ili ueleweka lazima uchanganye na personal life. Usipochanganya hiyo kitu hautoboi.Husda pembeni... dogo anaifahamu kazi yake na anajua kujieleza vizuri sana. hayo ya private life hayatuhusu.
Kwa kujieleza vizuri dogo atafika mbali asipolewa sifa... Congratulations and all the best. Inshaallah.
Ndio hivyo muziki anaujua na kujieleza pia, akitulia atafika mbali naiona nyota inaenda kuwaka vizuri huko mbeleni, Allah amsaidie tu asilewe sifa akaishia kua kama dogo Aslay... kipaji kimepotea bure tu.Mziki anajua ni kweli - Tatizo mziki wa Bongo ili ueleweka lazima uchanganye na personal life. Usipochanganya hiyo kitu hautoboi.
😂😂 Maisha hayako fair aisee.Ndio hivyo muziki anaujua na kujieleza pia, akitulia atafika mbali naiona nyota inaenda kuwaka vizuri huko mbeleni, Allah amsaidie tu asilewe sifa akaishia kua kama dogo Aslay.. kipaji kimepotea bure tu.
Kujua kuimba peke yake hakutoshi ndiyo maana wale wenye talents haswa(vocally) hauwaoni ku-shine, lazima uchanganye udambwidambwi ndipo showbiz industry utaimudu.Husda pembeni... dogo anaifahamu kazi yake na anajua kujieleza vizuri sana. hayo ya private life hayatuhusu.
Kwa kujieleza vizuri dogo atafika mbali asipolewa sifa... Congratulations and all the best. Inshaallah.
Basi inabidi dogo amtafute meneja mwenye uzoefu wa hayo mavituzz mapema sana ili amfungulie milango asije poteza kipaji chake bure tu. Meneja mwenye kujua fitna za game pia.Kujua kuimba peke yake hakutoshi ndiyo maana wale wenye talents haswa(vocally) hauwaoni ku-shine, lazima uchanganye udambwidambwi ndipo showbiz industry utaimudu.
[emoji817]Basi
Basi inabidi dogo amtafute meneja mwenye uzoefu wa hayo mavituzz mapema sana ili amfungulie milango asije poteza kipaji chake bure tu. Meneja mwenye kujua fitna za game pia.