kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 6,066
- 7,554
Ooohhh.....lakini pia huwa sielewi huwa kuna nguvu gani, maana kweli unaweza sahau ndoto, lakini likatokea tukio fulani ghafla ndoto yote inakuja live.Mi sio jinsia nayovaa boxa mkuu.
Ooohhh.....lakini pia huwa sielewi huwa kuna nguvu gani, maana kweli unaweza sahau ndoto, lakini likatokea tukio fulani ghafla ndoto yote inakuja live.Mi sio jinsia nayovaa boxa mkuu.
alafu hii ni ndoto ya ukweli kabisa na ushahidi unakuwepo.Hata ya kugegeda unasahu, pamoja na kuona matokeo kwenye boxa. 😎
Ni kweli, hata shetani hutumia mlango huu. Mwl Mwakasege amefundisha sana somi hili.
Nilivyokuwa mdogo niliwahi kuota nimenunuliwa viatu vipya, nilivyoamka basi nikaanza kuvitafuta nyumba nzima, na nilipovikosa nikaanza kuwadai nyumbani wanipe viatu vyangu vipya kama wameviweka mahali, ilikuwa balaa..Jaribu kufanya meditation
Kwa kawaida hutakiwi tu kukumbuka bali unatakiwa uende sawa na ndoto zako (sio ndoto za kitanda) yaani unavyoota unatakiwa uwe aware.
Hapo sasa utaweza kwenda sawa na ndoto yako huitaji kumsimulia mtu vitendo vitaonekana na mabadiliko pia.
Iyo ndoto ya kuwasimulia watu umeokota bulungutu la pesa alafu huzioni iyo ni ndoto ya kitanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna binadamu asiyeota ndoto. Ila Kuna makundi matatu ya waotaji.Bora wewe mimi inaweza pita miezi miwili sioti kabisa
usimshauri aende kukanyaga mafuta
Ukiona huoti ndoto au unaota unasahau, yawezeka shetani ameharibu mawasiliano yako na Mungu.
Mungu huweza kuongea na wanadamu kwa njia ya ndoto.
Hali hii hutokea hasa umri unapokwenda juu zaidi >30. Mtu huota ndoto na kuzikumbuka anapokuwa na usingizi mzito. Hali hii hupungua na umri. Pia hali yako ya kiroho inachangia. Wakati mwingine unaweza ukasahaulishwa ndoto ya kichawi ili usichukue hatua. Kwa ujumla sio vizuri unapokuwa unaota ndoto na kusahau. Ndoto hutumiwa sana na ulimwengu wa giza na huweza kuingilia kumbukumbu yako ili usishtuke kwamba kuna kitu kinaendelea. Kabla na baada ya kuamka sali vizuri kuweka ulinzi dhidi ya mashambulio ya shetani kupitia ndoto.Binafsi nina tatizo la kusahau kabisa ndoto ninazoota, pindi nikiamka. Naliita tatizo kwasababu huko nyuma nilikuwa naota na nakumbuka kila kitu na naweza kumsimulia mtu nimeota nini.
Lakini ghafla nikaanza kusahau kabisa. Hata kama nikishtuka katikati ya usiku nikijaribu kukumbuka hivi nilikuwa naota nini, yaani kumbukumbu haziji kabisa.
Huwa naota na nakumbuka kabisa kuwa nimeota, ila sasa kukumbuka nimeota nini ndio shida. Siipendi hali hii maana huwa najitahidi kweli kukumbuka lakini wapi, sasa sijui tatizo ni nini, maana najua kuna ndoto ambazo ni ujumbe fulani mtu unakuwa unapewa.
Shetani naye usimsahau mawasiliano yake nayo hupatikana humo humoMwili usioota ni mwili mfu, sbb ndoto ni mawasiliano baina ya Mungu na binaadam
Mkuu lala chali utakumbuka tuBinafsi nina tatizo la kusahau kabisa ndoto ninazoota, pindi nikiamka. Naliita tatizo kwasababu huko nyuma nilikuwa naota na nakumbuka kila kitu na naweza kumsimulia mtu nimeota nini.
Lakini ghafla nikaanza kusahau kabisa. Hata kama nikishtuka katikati ya usiku nikijaribu kukumbuka hivi nilikuwa naota nini, yaani kumbukumbu haziji kabisa.
Huwa naota na nakumbuka kabisa kuwa nimeota, ila sasa kukumbuka nimeota nini ndio shida. Siipendi hali hii maana huwa najitahidi kweli kukumbuka lakini wapi, sasa sijui tatizo ni nini, maana najua kuna ndoto ambazo ni ujumbe fulani mtu unakuwa unapewa.
Kiumri mtu anaweza kuzeeka lakini roho ya mtu haizeeki, ukisahau ndoto uliyoota ujue kuna shida ya kiroho mahali.Wengi tuna shida hii lakini mimi naona ukiona unasahau ndoto ulizoota jua kuwa umri umesonga kwa hiyo ndugu hiyo ni dalili tosha ya kuwa uzee unakunyemelea!
😂 😂 😂 😂 😂Ota ukiwa unawaambia wenzako.
"nisubirini nikojoe haraka hapa"
Uone kama utasahau tena