Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.
hehehehe!....haya KANYAGA TWENDE MAMA.....Hahahahaaaa.mnajidanganya,wanawake huwa wanaweza kuvumilia sana hiyo kitu.Ebu niambieni nani huwa anaanzisha mchezo? mwanaume au mwanamke? Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.
ππ!!!!!! He!Hahahahaaaa.mnajidanganya,wanawake huwa wanaweza kuvumilia sana hiyo kitu.Ebu niambieni nani huwa anaanzisha mchezo? mwanaume au mwanamke? Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.
Kiongozi kuna nafasi za kazi zimetangazwa URAFIKI pale. Hayo maneno yakikaa kwa khanga yatapendeza sana.Angalia mkuu unaweza ukatikisa alafu njiti zikatoka ukawa unatikisa ganda tu.
hayo ni madhara ya kulala na wanawake wa tangaππππ!!!!!! He!
Kiongozi kuna nafasi za kazi zimetangazwa URAFIKI pale. Hayo maneno yakikaa kwa khanga yatapendeza sana.
We unaamini watu wanayoyaandika humu ndiyo maisha wanayoishi? π±π±
Stuka!
Mkuu hili swali linapendeza sana akilijibu Dark City.
Hahahaha! Nimecheka mpaka najisikia kuzimia.
Ngoja nikatafute kavaluu nitulize mzuka.
Nchi gani?
Hili ngoja atakujibu Dark City.
Dawa yake iko jikoni huyuπ
Kiongozi kuna nafasi za kazi zimetangazwa URAFIKI pale. Hayo maneno yakikaa kwa khanga yatapendeza sana.
i like that pal!PAMOJAAAZSiyo wote wanaandika wanayoyafanya au hata kuamini. Kuna wengine wanasukuma mjadala na muda pia.Binafsi sioni kama kuna motive ya kufanya usanii! Nachukulia kuwa huu mjadala ni kwa ajili ya kubadilishana uzoefu.
Nimejibu hapo juu.
Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.
Ila niweke wazi kuwa hii ni strategy binafsi ya maisha yangu kwa sababu naamini kuwa mke wangu siyo mtumishi wangu na siyo kila siku atakuwa nami kunisaidia. Nilifanya kazi zangu zote kabla ya ndoa na sioni sababu ya kutofanya baadhi ya kazi hadi sasa kutegemeana na muda. Sikumpa nafasi wife kunifanyia kazi yoyote wakati wa uchumba kwa sababu sikuwa natafuta mtumishi wa ndani. Naendelea kuzifanya kila ninapopata nafasi na ndiyo maana kwangu ndoa ni suala la makubaliano ya leo leo. Kama kitu hakieleweki basi kila mtu aanze. Kazi zote zitaenda kama kawaida na huduma nyingine zitapatikana kwa wazabuni wengine.
hayo ni madhara ya kulala na wanawake wa tangaππ
unamnyima siku mbili tatu tu!mwanamke anaeamua kutoka nje mara nyingi huwa anakuwa amevumilia saaaaaaaaaaaaaanaaaaaa,hata miaka mitatu.
...hii unatingisha tu kibiritiπ
πhivi mama sandra anatokea wapi vileee muheza au chuda?
ππumejaribu hicho kitu au unongea hypothetically? Kuna wengine hata mwenzi hawana habari. Wao wanacheza na watoto na kujishulisha na nguo zao kwenye wardrobes. Usije ukajikuta unaanza kutoa machozi ndugu yangu kwa kuanzisha vita ya mayai na mawe wakati wewe mwenyewe ni yai!
Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.
Safi sana.Baelezee DC.wewe ni mfano wa kuigwa.Big up bro.Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.
Ila niweke wazi kuwa hii ni strategy binafsi ya maisha yangu kwa sababu naamini kuwa mke wangu siyo mtumishi wangu na siyo kila siku atakuwa nami kunisaidia. Nilifanya kazi zangu zote kabla ya ndoa na sioni sababu ya kutofanya baadhi ya kazi hadi sasa kutegemeana na muda. Sikumpa nafasi wife kunifanyia kazi yoyote wakati wa uchumba kwa sababu sikuwa natafuta mtumishi wa ndani. Naendelea kuzifanya kila ninapopata nafasi na ndiyo maana kwangu ndoa ni suala la makubaliano ya leo leo. Kama kitu hakieleweki basi kila mtu aanze. Kazi zote zitaenda kama kawaida na huduma nyingine zitapatikana kwa wazabuni wengine.
mbona ushahidi hutoi?????πsafi sana.baelezee dc.wewe ni mfano wa kuigwa.big up bro.
Ila Makufululi sifui!
Acha tu mkuu ishu nyingine we zione ivi ivi tuu!!
Hivi mama Sandra anatokea wapi vileee Muheza au chuda?
π
enjoy u r lunch
Safi sana.Baelezee DC.wewe ni mfano wa kuigwa.Big up bro.
Ndege wa aina moja huruka pamoja.
MIMI NA FIDEL SI NDEGE WA AINA MOJA!.....if you know what i am sayingπDπ(on the veery serious note:M..H..K.. NI MEMBA WA JFπ)Ndege wa aina moja huruka pamoja.