Kusaidiana kwenye ndoa...


Mbona umeweka maandishi yaliyofifia binamu ??
 
 

Mi kuna siku nilijipendekeza nikawa natandika vitambaa kwenye makochi. Nikasikia toka kwa wife "Na wewe leo umekosa kazi ya kufanya?"

Breki ya kwanza ilikuwa kaunta Fyatanga Pub!
 

Safi sana mkuu. Wewe tekeleza matakwa ya contract yako. Pia angalia mtumbwi wako kama unaelea bila kujali ya wenzio ikoje. Charity begins at home.

Safi sana.Baelezee DC.wewe ni mfano wa kuigwa.Big up bro.

Naanza kupata shule toka kwa Xpin, ya kuchanganya uzoefu binafsi na yale unayosikia mitaani au kuona kwa jirani. Nitaijaribu siku moja, inshallah!
 
MIMI NA FIDEL SI NDEGE WA AINA MOJA!.....if you know what i am sayingπŸ™‚DπŸ˜€(on the veery serious note:M..H..K.. NI MEMBA WA JFπŸ˜€)
Hahaha! Nilisahau kidogo. Fidel na GP huruka pamoja!πŸ˜€ No wonder you have changed! LOLZ!

Mbona umeweka maandishi yaliyofifia binamu ??
Jaribu kuvaa mawani nawee
 
kha! okay baaai! ni nini hiki hapa leo?

Nimesoma page 1-25 sijaona kitu!
 
Wewe unafua au hufui? Unapika na kudiki au la?
NAMJIBIA-nimeshakwenda nyumbani kwake kimanzi-chanaπŸ˜€
ANAPIKA,ANAFUA,ANAOGESHA WATOTOWAKE SITA,DEKI ANAPIGA,UWANJA ANAFAGIA....!mkewe ni bia tu kuanzia saa 12
 
Hahaha! Nilisahau kidogo. Fidel na GP huruka pamoja!πŸ˜€ No wonder you have changed! LOLZ!


Jaribu kuvaa mawani nawee

Hommie, tangu umeniona nimejaribu kusoma sijaona kitu kabisa!

kwani, hivi ..aargh..twen zetu kwen valuu banaπŸ˜€

Geoff, that is notedπŸ™„
 
hommie, tangu umeniona nimejaribu kusoma sijaona kitu kabisa!

Kwani, hivi ..aargh..twen zetu kwen valuu bana:d

geoff, that is notedπŸ™„

kumbe ulukiuwepo. Workshopu umemwacha nani??
Afu unaangalia tu fidel anavonichokoza you dont even entervene......................!!!!!!!!!!!!
 
hahaha pole nenda kwanza na Fidel80 pale chawote ukirudi utaona Kaizer

Hahahaha leo tunaanzia JJ kwa ankal pale tunapiga za nyuki tu tukipata manundu break ya kwanza Chawote kwa Aswile.
 
ngumu-kumesa!...lakini inawezekana tu.mke wangu akiugua miezi miwili kitandani?HATA NEPI NITAM-BADILISHA TU
Usinambie umeoa katoto. Kwa hiyo mshiki kumbe mke wa pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…