Kusaidiana kwenye ndoa...

Kusaidiana kwenye ndoa...

Mi napenda challenge. So sometimes naongelea uzoefu wangu wa maisha ya kila siku na wakati mwingine tofauti kabisa na hali halisi. Inanisaidia kupata uzoefu kwa wengine na kuboresha pale napoona nilikwenda kinyume.

Pamoja mkuu.

Ila Makufululi sifui!

Mbona umeweka maandishi yaliyofifia binamu ??
 
Ila Makufululi lazima nifue na mimi![/QUOTE]

Hehehehehee! Senks!
 
Umejaribu hicho kitu au unongea hypothetically? Kuna wengine hata mwenzi hawana habari. Wao wanacheza na watoto na kujishulisha na nguo zao kwenye wardrobes. Usije ukajikuta unaanza kutoa machozi ndugu yangu kwa kuanzisha vita ya mayai na mawe wakati wewe mwenyewe ni yai!

Mi kuna siku nilijipendekeza nikawa natandika vitambaa kwenye makochi. Nikasikia toka kwa wife "Na wewe leo umekosa kazi ya kufanya?"

Breki ya kwanza ilikuwa kaunta Fyatanga Pub!
 
Mi napenda challenge. So sometimes naongelea uzoefu wangu wa maisha ya kila siku na wakati mwingine tofauti kabisa na hali halisi. Inanisaidia kupata uzoefu kwa wengine na kuboresha pale napoona nilikwenda kinyume.

Pamoja mkuu.

Ila Makufululi sifui!

Safi sana mkuu. Wewe tekeleza matakwa ya contract yako. Pia angalia mtumbwi wako kama unaelea bila kujali ya wenzio ikoje. Charity begins at home.

Safi sana.Baelezee DC.wewe ni mfano wa kuigwa.Big up bro.

Naanza kupata shule toka kwa Xpin, ya kuchanganya uzoefu binafsi na yale unayosikia mitaani au kuona kwa jirani. Nitaijaribu siku moja, inshallah!
 
MIMI NA FIDEL SI NDEGE WA AINA MOJA!.....if you know what i am saying🙂D😀(on the veery serious note:M..H..K.. NI MEMBA WA JF😀)
Hahaha! Nilisahau kidogo. Fidel na GP huruka pamoja!😀 No wonder you have changed! LOLZ!

Mbona umeweka maandishi yaliyofifia binamu ??
Jaribu kuvaa mawani nawee
 
kha! okay baaai! ni nini hiki hapa leo?

Nimesoma page 1-25 sijaona kitu!
 
Wewe unafua au hufui? Unapika na kudiki au la?
NAMJIBIA-nimeshakwenda nyumbani kwake kimanzi-chana😀
ANAPIKA,ANAFUA,ANAOGESHA WATOTOWAKE SITA,DEKI ANAPIGA,UWANJA ANAFAGIA....!mkewe ni bia tu kuanzia saa 12
 
Hahaha! Nilisahau kidogo. Fidel na GP huruka pamoja!😀 No wonder you have changed! LOLZ!

Jaribu kuvaa mawani nawee

Hommie, tangu umeniona nimejaribu kusoma sijaona kitu kabisa!

kwani, hivi ..aargh..twen zetu kwen valuu bana😀

Geoff, that is noted🙄
 
hommie, tangu umeniona nimejaribu kusoma sijaona kitu kabisa!

Kwani, hivi ..aargh..twen zetu kwen valuu bana:d

geoff, that is noted🙄

kumbe ulukiuwepo. Workshopu umemwacha nani??
Afu unaangalia tu fidel anavonichokoza you dont even entervene......................!!!!!!!!!!!!
 
hahaha pole nenda kwanza na Fidel80 pale chawote ukirudi utaona Kaizer

Hahahaha leo tunaanzia JJ kwa ankal pale tunapiga za nyuki tu tukipata manundu break ya kwanza Chawote kwa Aswile.
 
ngumu-kumesa!...lakini inawezekana tu.mke wangu akiugua miezi miwili kitandani?HATA NEPI NITAM-BADILISHA TU
Usinambie umeoa katoto. Kwa hiyo mshiki kumbe mke wa pili?
 
Back
Top Bottom