Mwanaume hana khaki ya kufua nguo ya mke wake kikwetu ni dhambi hata dini pia
😀😀Wewe bana naona Kaizer na Askofu wameshakubatiza.
Heee kumbe wewe ni she/he! mmh
Jalini waume zenu kama unaweza jaribu kumuogesha siku za week end akienda kula bia awe anakuwaza home.
Ndoa ni maelewano hata kupendana kulitokea maelewano fulani baina yenu kwa hiyo sidhani kufuliana vitasa kama kukiwa na maelewano kutaleta shida, ni hayo tu.
Ikifikia steji hiyo mpwa niite nikusaidie kuukagua mkataba wa makubaliano.Bora niendelee kuto jua maana vinakera na sivipendi navyo chumbia lazima niweke wazi mambo kama haya asije akaanza kuniletea ubeijing wkt mm ni mbantu original alafu Mndengeleko.
Hahahaha! Jasiri haachi asili😀hehehehe kujiexpress mama mwendo mdundo raha jipe mwenyewe mama usitegemee n'tu akupe raha.
Ikiwa amesema neno baya, toa ushahidi wa neno bayaOriginal Pastor ..maneno na matendo yako mbona vinatofautiana sana ..
Umekaa kama liafande la police ..lakini jina lako la Mpendwa katika bwana .🙂
we Fidel80 bado hujamiliki jiko wewe lakini nakwambia iko siku inakuja isiyo na jina utapika babaangu ..tunakuja kwako tunakuta umevaa apron mama anasoma News
So whats eating you fella?😕😀😀
wataweza?....
mbona unahasira hivyo binamu, kitasa tu, am sure we will sort it out, ha ha ha ha.Kwetu mwanamke anapigwa talaka 3 na hapewi begi anawekewa nguo kwenye kiloba na kurudishwa kwao na mali inarudishwa siku hiyo hiyo nyambafu.
Hahahaha! Jasiri haachi asili😀
kikwenu ndo kipi, na dini ni dini gani hiyo? kama ni bible ni mstari upi huo ulokataza mwanaume kufua nguo za mkewe?Mwanaume hana khaki ya kufua nguo ya mke wake kikwetu ni dhambi hata dini pia
Hana bwana AK wenzio wanafua na kuanika vile vile ni wewe tu.no room for such kind of maelewano....................short and clear..............
Tabia za kizungu kumwambia mwenzio afue sindiria afue kufuli zako afue kanga zako afue nanihii na akate nanihiino
Mapenzi ni kusaidiana.hakuna shida kumsaidia mkeo kupika au kufua.Tatizo ni mfume dume umetutawala.Watanzania tunazaliwa na STEREOTYPES za kuwa kuna kazi za kike na za kiume.Huo uongo tunajengewa toka watoto na tunakuwa nao.Kuna familia wanazaliwa watoto wa kiume tupu na mbona wanafanya hizo kazi za kupika na usafi?tubadilike jamani
Kabla sijaoa kulikuwa na vibinti kama vinne hivi nilikuwa navipanga bila ya vyenyewe kujua. Kila kimoja nilikuwa nakiita waifu tu bii. Chenye zamu ya kunihudumia lazima kifanye usafi wa kila kitu ikiwemo makufuli. Baada ya kuchoka mambo hayo ndo nikaamua kuweka ndani mai waifu ambaye katika mkataba wetu mojawapo ya makubaliano yetu ni kunifulia makufuli mpaka kifo kitutenganishe.
Hana bwana AK wenzio wanafua na kuanika vile vile ni wewe tu.
Mwanaume hana khaki ya kufua nguo ya mke wake kikwetu ni dhambi hata dini pia
Hana bwana AK wenzio wanafua na kuanika vile vile ni wewe tu.
mbona unahasira hivyo binamu, kitasa tu, am sure we will sort it out, ha ha ha ha.
Yata mkuta tu huyu FL1 tena mbaya zaidi maza anaangalia shades of sin na kastick pembeni yeye anasonga ugali, that will be the day, teh teh teh.we Fidel80 bado hujamiliki jiko wewe lakini nakwambia iko siku inakuja isiyo na jina utapika babaangu ..tunakuja kwako tunakuta umevaa apron mama anasoma News