Kusaidiana kwenye ndoa...

Kusaidiana kwenye ndoa...

Mwanaume hana khaki ya kufua nguo ya mke wake kikwetu ni dhambi hata dini pia

Kwetu mwanamke anapigwa talaka 3 na hapewi begi anawekewa nguo kwenye kiloba na kurudishwa kwao na mali inarudishwa siku hiyo hiyo nyambafu.
 
Heee kumbe wewe ni she/he! mmh
Jalini waume zenu kama unaweza jaribu kumuogesha siku za week end akienda kula bia awe anakuwaza home.

haogeshwi week end tuu, twaogeshana asubuhi na jioni. lazima tuufurahie uumbaji wa mungu bwana. alipewa msaidizi, na kama upande wa ubavu wake im the part of his body hivo hawezi kuacha part ya mwili wake hovyo.
 
Ndoa ni maelewano hata kupendana kulitokea maelewano fulani baina yenu kwa hiyo sidhani kufuliana vitasa kama kukiwa na maelewano kutaleta shida, ni hayo tu.

no room for such kind of maelewano....................short and clear..............
 
we Fidel80 bado hujamiliki jiko wewe lakini nakwambia iko siku inakuja isiyo na jina utapika babaangu ..tunakuja kwako tunakuta umevaa apron mama anasoma News
 
Bora niendelee kuto jua maana vinakera na sivipendi navyo chumbia lazima niweke wazi mambo kama haya asije akaanza kuniletea ubeijing wkt mm ni mbantu original alafu Mndengeleko.
Ikifikia steji hiyo mpwa niite nikusaidie kuukagua mkataba wa makubaliano.
hehehehe kujiexpress mama mwendo mdundo raha jipe mwenyewe mama usitegemee n'tu akupe raha.
Hahahaha! Jasiri haachi asili😀
Original Pastor ..maneno na matendo yako mbona vinatofautiana sana ..
Umekaa kama liafande la police ..lakini jina lako la Mpendwa katika bwana .🙂
Ikiwa amesema neno baya, toa ushahidi wa neno baya
Lakini kama amenena chema, kwanini wampinga?
 
we Fidel80 bado hujamiliki jiko wewe lakini nakwambia iko siku inakuja isiyo na jina utapika babaangu ..tunakuja kwako tunakuta umevaa apron mama anasoma News

Hahahahaha tema mate juu kwangu mm lol labda nimpate n'tu wa n'twala
 
Kwetu mwanamke anapigwa talaka 3 na hapewi begi anawekewa nguo kwenye kiloba na kurudishwa kwao na mali inarudishwa siku hiyo hiyo nyambafu.
mbona unahasira hivyo binamu, kitasa tu, am sure we will sort it out, ha ha ha ha.
 
Tabia za kizungu kumwambia mwenzio afue sindiria afue kufuli zako afue kanga zako afue nanihii na akate nanihiino

Sioni kama kuna shida kufua hizo ngua kwani tunazishika mara nyingi hata wakati mwingine kuzilamba kwa ulimi. Ila itakuwa ni uchokozi kama mmekaa kwenda ndoa kwa miaka kibao bila mwanamume kufanya kazi hizo na nyingine za ndani halafu ghafla anaambiwa afanye. Kama mwanamke anataka mume amsaidie basi inabidi aende taratibu ili kupunguza misuguano isiyo na lazima. Na kama mwanamume hataki basi wakubaliane jinsi ya kuishi au kieleweke.

Mapenzi ni kusaidiana.hakuna shida kumsaidia mkeo kupika au kufua.Tatizo ni mfume dume umetutawala.Watanzania tunazaliwa na STEREOTYPES za kuwa kuna kazi za kike na za kiume.Huo uongo tunajengewa toka watoto na tunakuwa nao.Kuna familia wanazaliwa watoto wa kiume tupu na mbona wanafanya hizo kazi za kupika na usafi?tubadilike jamani

Ni kweli. Watoto wakilelewa vizuri wanaweza kufanya kazi zote bila kujali jinsi zao. Kwangu my boys wanadunda mzigo kama nini. Kwa hiyo naamini sitaletewa kesi na wakwe. Na zikiletwa huyo boy atakumbana na dhoruba!

Kabla sijaoa kulikuwa na vibinti kama vinne hivi nilikuwa navipanga bila ya vyenyewe kujua. Kila kimoja nilikuwa nakiita waifu tu bii. Chenye zamu ya kunihudumia lazima kifanye usafi wa kila kitu ikiwemo makufuli. Baada ya kuchoka mambo hayo ndo nikaamua kuweka ndani mai waifu ambaye katika mkataba wetu mojawapo ya makubaliano yetu ni kunifulia makufuli mpaka kifo kitutenganishe.

Hapo mlishakubaliana. Kwa hiyo kukiuka makubaliano ni uchokozi. Na ndiyo mwanzo wa kuvunja mikataba ikiwemo ndoa. Mimi sikuwa na makubaliano yoyote kama hayo. Kwa hiyo kazi zote za ndani nafanya na hata nguo zozote nafua kutegemeana na muda wangu. Naamini bado ni mwanamume tu, tena baba mwenye kujali familia.
 
niliwahi kumuuliza mshiki kama angependa tusaidiane kazi akasema NDIYO!...asubuhi yake nikampa ovaroli langu,mwiko wa kujengea,pima maji,helmet ya site,gandi-buti then nikamwambia ''tuongozane kazini my wifey-TUKASAIDIANE''...!unajua kilichotokea?😀😀
 
mbona unahasira hivyo binamu, kitasa tu, am sure we will sort it out, ha ha ha ha.

Hehehehe si wengine huwa hatutaniwi bana serious akiniambia nimfulie sidiria sijui nguo zake tunaongozana mpaka kwa wazazi wake wanieleze huyu mtu nimelipa posa na mahali juu aje kwangu nimfulie waseme kama vp wachukue mzigo wao bana n'tu nimegharamia alafu aje nianze kumfulia,kumpikia wapi na wapi bana.
 
we Fidel80 bado hujamiliki jiko wewe lakini nakwambia iko siku inakuja isiyo na jina utapika babaangu ..tunakuja kwako tunakuta umevaa apron mama anasoma News
Yata mkuta tu huyu FL1 tena mbaya zaidi maza anaangalia shades of sin na kastick pembeni yeye anasonga ugali, that will be the day, teh teh teh.
 
Back
Top Bottom