bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Hana bwana AK wenzio wanafua na kuanika vile vile ni wewe tu.
hahahaaa baelezeeeeeeeeee baelewa AK 47 ubishi tu...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana bwana AK wenzio wanafua na kuanika vile vile ni wewe tu.
niliwahi kumuuliza mshiki kama angependa tusaidiane kazi akasema NDIYO!...asubuhi yake nikampa ovaroli langu,mwiko wa kujengea,pima maji,helmet ya site,gandi-buti then nikamwambia ''tuongozane kazini my wifey-TUKASAIDIANE''...!unajua kilichotokea?😀😀
Origino 100 pase!!!hao wanume wa kichina..............................
Mwanaume hana khaki ya kufua nguo ya mke wake kikwetu ni dhambi hata dini pia
umepata senksi...!kabla sijafikiria kuirimuvu na wewe kaiheshimu post yangu🙂Yes! Alienda bafuni kufua kufuli za bwashee! Hapa lazima nipate Senksi!😀
Haumo kaka, Kina beloved Mr............Wenzie kina nani? Mi simooooo!
kweli huko kwenu bado mko naintiin kweusi. huku kwetu taraka hapewi mtu, ukichoka unaondoka wewe na begi unasaidiwa kufungasha.. mahari hairudishwi maana baba angu ha-run bank ambayo mali alipewa akutunzie urudi kuchukua wakati wowote upo?Kwetu mwanamke anapigwa talaka 3 na hapewi begi anawekewa nguo kwenye kiloba na kurudishwa kwao na mali inarudishwa siku hiyo hiyo nyambafu.
wandugu,
DHANA YA KUSAIDIANA NI PANA SANA...!inategemea pia mnasaidiana nini.kuna vitu hupendeza sana vikifanywa na mwanaume,na kuna vitu hupendeza zaidi vikifanywa na mwanamke.TUWE WAKWELI
wandugu,
DHANA YA KUSAIDIANA NI PANA SANA...!inategemea pia mnasaidiana nini.kuna vitu hupendeza sana vikifanywa na mwanaume,na kuna vitu hupendeza zaidi vikifanywa na mwanamke.TUWE WAKWELI
Nakulainisha mpaka unakubali matokeo.Hehehehe si wengine huwa hatutaniwi bana serious akiniambia nimfulie sidiria sijui nguo zake tunaongozana mpaka kwa wazazi wake wanieleze huyu mtu nimelipa posa na mahali juu aje kwangu nimfulie waseme kama vp wachukue mzigo wao bana n'tu nimegharamia alafu aje nianze kumfulia,kumpikia wapi na wapi bana.
kweli huko kwenu bado mko naintiin kweusi. huku kwetu taraka hapewi mtu, ukichoka unaondoka wewe na begi unasaidiwa kufungasha.. mahari hairudishwi maana baba angu ha-run bank ambayo mali alipewa akutunzie urudi kuchukua wakati wowote upo?
Hapo mlishakubaliana. Kwa hiyo kukiuka makubaliano ni uchokozi. Na ndiyo mwanzo wa kuvunja mikataba ikiwemo ndoa. Mimi sikuwa na makubaliano yoyote kama hayo. Kwa hiyo kazi zote za ndani nafanya na hata nguo zozote nafua kutegemeana na muda wangu. Naamini bado ni mwanamume tu, tena baba mwenye kujali familia.
kweli huko kwenu bado mko naintiin kweusi. huku kwetu taraka hapewi mtu, ukichoka unaondoka wewe na begi unasaidiwa kufungasha..
Binamu kwani mtoto ni wa nani? mama au baba?Akina mama SHE wanasema kusaidiana kufua fua kupiga deki kupika lakini sio kazi kama kutoa kodi ya meza kulipa kodi kutoa ada za shule hapo wa SHE wanasema ni za kiume tu lol ndo hapo napo choka.
Thats a true gentleman as always! tell them boys, they need to grow up.Hiyo sheria katunga nani? Dini ipi na unaweza kutusaidia mistari ili twende pamoja? Kama kuna sheria kama hiyo basi naomba uanze kuandaa orodha ya watu wa kuburuzwa mahakamani na mimi nipe namba 1. Na kama ni dhambi basi ngoja tuwaanchie hiyo nfasi ya kwenda mbinguni!
Nakulainisha mpaka unakubali matokeo.
Akina mama SHE wanasema kusaidiana kufua fua kupiga deki kupika lakini sio kazi kama kutoa kodi ya meza kulipa kodi kutoa ada za shule hapo wa SHE wanasema ni za kiume tu lol ndo hapo napo choka.