Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Linaweza kuwa dude kuubwa lakini halina madhara kama Pilipili hoho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linaweza kuwa dude kuubwa lakini halina madhara kama Pilipili hoho.
Hapana ni uchungu wa kukimbia KhersonHii yote ni uchungu wa kupondwa pondwa na Drones za Iran.
Yu zofuli khali,ulimi nnje mpaka sasa anatamani hata leo vita iishe lakini akikumbuka aibu atakayoipata anaamua kujikongoja hivyo hivyoMmemuona wapi huyu Putin.?
Anaendeleaje na khali
hata mawazo ya kuvamia alifanya akiwa anajitegenea sasa kwann asumbue waliotulia na maamani yao eti wamsaidie kwenye ujinga wakeKumbuka huyo Russia anajitengenezea silaha za kila Aina.
jipime akili , hii operation Urusi aliianzisha kwa mbwembwe sana leo hii anazulula kuomba silahaNi kwanini USA ananunua silaha kutoka kwa nchi nyingine rafiki i.e NATO?Ni kwanini USA hua anauziwa silaha na Israel?
Hii inamfanya USA kua superpower wa mchongo.
Huwa wanatumia vita kama sehemu ya kutestia silaha zao piaSasa najiuliza, Putin kukaa akiomba apewe misaada ya silaha za kivita, ni kuonyesha udhaifu na pia hana silaha za kutosha?
Hujajibu maswali yake ya msingi!jipime akili , hii operation Urusi aliianzisha kwa mbwembwe sana leo hii anazulula kuomba silaha
Doh!Hujajibu maswali yake ya msingi!
Umejibu ambacho hujaulizwa!
Naongezea,kwanini US aende kununua silaha South Korea na kwingineko za kumpatia Ukraine?
jibu ni kuwa Marekan anatoa msaada tu ila Urusi alianzisha operation kwa mbwembwe so ni aibu kuzulula kuomba silaha ina maana hakujua uzito wa anaempiga ?Hujajibu maswali yake ya msingi!
Umejibu ambacho hujaulizwa!
Naongezea,kwanini US aende kununua silaha South Korea na kwingineko za kumpatia Ukraine?
Msaada si atoe kwenye maghala yake!jibu ni kuwa Marekan anatoa msaada tu ila Urusi alianzisha operation kwa mbwembwe so ni aibu kuzulula kuomba silaha ina maana hakujua uzito wa anaempiga ?
Mtoe Magufuli kweli list.Mandonga, Putin na Magufuli ni baba mmoja mama tofauti