Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

Kumbuka huyo Russia anajitengenezea silaha za kila Aina.
hata mawazo ya kuvamia alifanya akiwa anajitegenea sasa kwann asumbue waliotulia na maamani yao eti wamsaidie kwenye ujinga wake
 
Ni kwanini USA ananunua silaha kutoka kwa nchi nyingine rafiki i.e NATO?Ni kwanini USA hua anauziwa silaha na Israel?

Hii inamfanya USA kua superpower wa mchongo.
jipime akili , hii operation Urusi aliianzisha kwa mbwembwe sana leo hii anazulula kuomba silaha
 
jipime akili , hii operation Urusi aliianzisha kwa mbwembwe sana leo hii anazulula kuomba silaha
Hujajibu maswali yake ya msingi!
Umejibu ambacho hujaulizwa!
Naongezea,kwanini US aende kununua silaha South Korea na kwingineko za kumpatia Ukraine?
 
Hujajibu maswali yake ya msingi!
Umejibu ambacho hujaulizwa!
Naongezea,kwanini US aende kununua silaha South Korea na kwingineko za kumpatia Ukraine?
jibu ni kuwa Marekan anatoa msaada tu ila Urusi alianzisha operation kwa mbwembwe so ni aibu kuzulula kuomba silaha ina maana hakujua uzito wa anaempiga ?
 
jibu ni kuwa Marekan anatoa msaada tu ila Urusi alianzisha operation kwa mbwembwe so ni aibu kuzulula kuomba silaha ina maana hakujua uzito wa anaempiga ?
Msaada si atoe kwenye maghala yake!
Tatizo mnaendeshwa na ushabiki tu,akili mmeziweka Kandi!Mkirudi kwenye logic mtaelewa kwanini Urusi ananunua(kama kweli anafanya hivyo) silaha!Huenda anataka stock zake zisipungue kiasi fulani Incase escalation itatokea na akalazimika kupambana na hao maadui zake wanaomuunga mkono Ukraine!Hivyo hivyo Kwa USA,hawezi kutumia stock yake mpaka ikashuka Kwa kiwango ambacho ikitokea akaingia vitani basi atakuwa kwenye wakati mgumu!
Tatizo lenu huku mnapuliza,kile mnang'ata!
 
Back
Top Bottom