Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila dini ina katiba zingine kiongozi ndiye katiba mfano kuna huyu ndie Mungu mwenyewe mungu mtu wanayemwabudu unataka wawe na katiba ipi?Sio dini ni Madhehebu.
Kuna KKKT, Pentekoste, SABATO, Angliacan....hizi zinaendeshwa kwa mfumo shirikishi. Wana viongozi wao wanaochaguana kuendana na katiba zao.
Shida ipo huku kwa kina Mzee wa upako....Yeye ndio kila kitu, akiwaataka watu wakagaregare kwenye mafuta hakuna wa kumpinga.
Hapo unatakiwa u deal na individual sio diniMakubwa !!
Hivyo akitokea Kibwetere toleo jipya aruhusiwe kuanzisha hekalu lake la kuchoma waaumini moto wawahi peponi/paradiso?
Vipi ile Jamestown cult ya Marekani ipewe carte blanche kuendeleza imani yao?🤔
Ndie mimi mwenyewe
Serikali haina mamlaka ya kusajili dini ni kinyume cha katiba ya nchi kifungu cha 19 hiki hapa nanukuu
19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani
na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu
kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya
Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na
shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya nchi
Mfano Hii dini serikali itataka kuisajili? au inamlenga nani Kwenye huo usajili?

Sio dini ni Madhehebu.
Kuna KKKT, Pentekoste, SABATO, Angliacan....hizi zinaendeshwa kwa mfumo shirikishi. Wana viongozi wao wanaochaguana kuendana na katiba zao.
Shida ipo huku kwa kina Mzee wa upako....Yeye ndio kila kitu, akiwaataka watu wakagaregare kwenye mafuta hakuna wa kumpinga.
Unashangaa usajili wa dini mbona hushangai katiba kuruhusu uhuru wa maoni na kukusanyika lakini watu wakitaka kukusanyika mpaka kibao cha police??Vipi ushaguswa negatively na ccm?
Taasisi za dini au dhehebu hazitafanyiwa usajili .Kinachosajiliwa sasa Ni NGO zisizo za kidini zisizohusika na mambo ya diniMkuu Mnatuchanganya
Mara Taasisi,Mara dhehebu,
Wanasajili nini?
Dhehebu ni Kama Roman catholic,Lutheran,Sabatho nk nk
Taasisi ni kama Zipi?
Nini Kitasajiliwa naomba mtoe na Mifano tuelewe!
Cc: YEHODAYA
Serikali ya chama gani unaitolea povu?nje ya mada
Mi ningekuwa rais ningefuta dini zote za ajabu ajabu kama za akina masanja. Ningebaki na uislamu na ukatoliki tu
Tangu lini ?Sisi hatuko Kama nyie kila kitu zidumu fikra za Mbowe Sisi CCM ruksa kukosoana
Mtu aabuduje sio kazi yako Wala ya serikali kumpangiaInahitajika udhibiti kwenye ili ene na tena wamechelewa...Wamini wanakuwa kama Mazezeta yaani wanaendeshwa sana na hawa wanaowaita Manabii n.k.
View attachment 1898831
Utakuwa unawashwashwa wewe mstaafuTangu lini ?
Mimi Niko kinyume na hao magaidi halisi wa ccm mkuu Soma post zanguUnashangaa usajili wa dini mbona hushangai katiba kuruhusu uhuru wa maoni na kukusanyika lakini watu wakitaka kukusanyika mpaka kibao cha police??
Mbona hushangai watu wakitoa maoni kuhusu katiba mpya wanaitwa magaidi????
Uhuru upi unaoimba hapa???