Kusajili dini ni kinyume cha Katiba ya nchi kifungu namba 19

Kusajili dini ni kinyume cha Katiba ya nchi kifungu namba 19

Kama mikusanyiko tu inahitaji kibali sembuse hizo dini.

Wewe sali peke yako uone kama serikali itahitaji usajili.

Kuna kodi huko tunakusanya,sasa bila usajili tutajuaje?

Mna mali mtamiliki tusipo wasajili na kuwatambua hizo mali umiliki wake utakuwaje?
 
Foolish concepts.

Kuna vitu unachanganya

Kusajili jengo liwe la mtu binafsi au kanisa ziko sheria za ardhi
kusajili gari unasajiri TRA liwe la kanisa ,padri au mchungaji au shehe
kusajili shule iwe inamilikiwa na yeyote mtu binafsi au kanisa unasajili wizara ya elimu huko
Kusajili kampuni ni msajili wa makampuni iwe ya kuzalisha maji nk
Unaposema huwezi jua kodi inakusanywa vipi mbona una uelewa mdogo wewe

Kote huko kodi hukusanywa bila shida iwe ya majengo au chochote bila tatizo lolote

Kinachokataliwa ni kusajili dini.Serikali haina dini na haina mandate ya kusajili na kusimamia dini katiba ya nchi iko wazi .Lakini kuna maeneo wanajisahau wanadhani wana mamlaka ya kusajili dini
 
Dini za ajabu ajabu ni za aina gani?
Kwa nini uislamu na ukatoliki sio dini za ajabu ajab

Dini za ajabu ajabu ni za aina gani?
Kwa nini uislamu na ukatoliki sio dini za ajabu ajabu?
Ukatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
 
Ukatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
Toa ushahidi kuwa Mungu ndio anazitambua hizo dini mbili

Yesu alianzisha dini katoliki? au uislamu? mohamed alianzisha dini katoiliki au uislamu?

Mungu mlikutana naye wapi akakueleza hayo?
 
Haha ha kwa hiyo ungebakiza dini za watu weupe tu ulizoletewa na wakoloni wa kiarabu( Uislamu) na wakoloni wa kizungu (katoliki) , za waswahili wenzio hutaki!!! Una nywele za kizungu au kiarabu wewe mwenzetu nini?

Uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Ukatoliki ulikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa wala haujaletwa na wazungu. Uliletwa na mungu mwenyewe aliposema hata milango ya kuzima haitalishinda kanisa katoliki mathayo 16.12
 
Ukatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
Zinatambuliwa na Mungu mmoja au wawili tofauti?
Mbona imani na mafundisho ya hizo dini mbili ni tofauti kabisa?!
 
Ukatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
peleka mtoto wako shule za katoliki akasome ndio utajua kama wanatafuta pesa au la.Hiyo ada yake utakoma
 
Ukatoliki ulikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa wala haujaletwa na wazungu. Uliletwa na mungu mwenyewe aliposema hata milango ya kuzima haitalishinda kanisa katoliki mathayo 16.12
Unafahamu maudhui ya kitabu cha Mathayo yanamhusu nani wewe Kilaza?
 
Ukatoliki ulikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa wala haujaletwa na wazungu. Uliletwa na mungu mwenyewe aliposema hata milango ya kuzima haitalishinda kanisa katoliki mathayo 16.12
maskini wee basi nimeshajua dini hata huijui.Ukatoliki ulikuwepo kabla Yesu kuzaliwa ? pole.Rudi kwa padri wako au uliza mkatoliki mwenzio jirani
 
maskini wee basi nimeshajua dini hata huijui.Ukatoliki ulikuwepo kabla Yesu kuzaliwa ? pole.Rudi kwa padri wako au uliza mkatoliki mwenzio jirani
Mi mwenyewe ni padre yaani unaongea na padre aliyesoma miaka 25 hivyo sizinguliki
 
Ada for adminstrative purposes tu wala siyo kupiga hela ndugu
milioni sita au nne kwa mwaka ada kwa kila mtoto ni administrative cost? watoto unakuta shule nzima wako ellfu moja

1,000 mara milioni 4 ni sawa na shilini bilioni 4 Kwa mwaka .Walimu unakuta wako 10 mshahara laki nane kwa mwaka kwa kila mwalimu jumla ya mishahara yote ni milioni 96.Ukitoa kwenye hiyo bilioni nne kinachobaki si haba ni bilioni tatu laki nane na ushee .Hizo ni administrative cost za mengineyo!!!! ha ha ha
 
Mi mwenyewe ni padre yaani unaongea na padre aliyesoma miaka 25 hivyo sizinguliki
Rudi darasani ukatoliki haukuanza kabla Yesu KUZALIWA
Hata muumini wa kawaida atakupinga.Hapa sio pa kujitiutumua ohhh mimi padri miaka mingi uongo hauwi justified kwa kujificha kwenye kanzu ya upadri

Ni sawa na kusema ukristo ulianza kabla Yesu kuzaliwa
 
Uislamu upi unaouzungumzia wewe. Shiya, Suni, au Hamadia nk? Maana haiwezekani katika ukristo uchague ukatoliki, halafu kwenye uislam uunganishe kwa pamoja.
Wewe si mtenda haki, labda unaweza ukawa rahisi, lakini siyo rais.
Mi ningekuwa rais ningefuta dini zote za ajabu ajabu kama za akina masanja. Ningebaki na uislamu na ukatoliki tu
 
Ndiyo yeye mkuu kajibinjua kama gwaji gal kutoka kwenye nyungu mpk kwenye chanjo. Usipokwenda na upepo nchi hii mambo hayaendi.
Mimi sina mpango wa chanjo wewe.Usinilishe maneno
 
Back
Top Bottom