wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Ndiyo maana huwezi kuwa hata balozi mjinga wewe.Mi ningekuwa rais ningefuta dini zote za ajabu ajabu kama za akina masanja. Ningebaki na uislamu na ukatoliki tu
Kama mikusanyiko tu inahitaji kibali sembuse hizo dini.
Wewe sali peke yako uone kama serikali itahitaji usajili.
Kuna kodi huko tunakusanya,sasa bila usajili tutajuaje?
Mna mali mtamiliki tusipo wasajili na kuwatambua hizo mali umiliki wake utakuwaje?
Kuna vitu unachanganyaKama mikusanyiko tu inahitaji kibali sembuse hizo dini.
Wewe sali peke yako uone kama serikali itahitaji usajili.
Kuna kodi huko tunakusanya,sasa bila usajili tutajuaje?
Mna mali mtamiliki tusipo wasajili na kuwatambua hizo mali umiliki wake utakuwaje?
Dini za ajabu ajabu ni za aina gani?
Kwa nini uislamu na ukatoliki sio dini za ajabu ajab
Ukatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposaDini za ajabu ajabu ni za aina gani?
Kwa nini uislamu na ukatoliki sio dini za ajabu ajabu?
Toa ushahidi kuwa Mungu ndio anazitambua hizo dini mbiliUkatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
Ukatoliki ulikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa wala haujaletwa na wazungu. Uliletwa na mungu mwenyewe aliposema hata milango ya kuzima haitalishinda kanisa katoliki mathayo 16.12Haha ha kwa hiyo ungebakiza dini za watu weupe tu ulizoletewa na wakoloni wa kiarabu( Uislamu) na wakoloni wa kizungu (katoliki) , za waswahili wenzio hutaki!!! Una nywele za kizungu au kiarabu wewe mwenzetu nini?
Uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Zinatambuliwa na Mungu mmoja au wawili tofauti?Ukatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
peleka mtoto wako shule za katoliki akasome ndio utajua kama wanatafuta pesa au la.Hiyo ada yake utakomaUkatoliki na uislamu ndo mungu ambazo mungu anatambua wengine ni kelele tu na kutafuta pesa kwa kuwaibia hela watu kupitia sadaka kama gwaji boy na mwamposa
Zinatambuliwa zote na mnyazi mungu kuwa ni dini sahihi wengine ni usanii tuZinatambuliwa na Mungu mmoja au wawili tofauti?
Mbona imani na mafundisho ya hizo dini mbili ni tofauti kabisa?!
Unafahamu maudhui ya kitabu cha Mathayo yanamhusu nani wewe Kilaza?Ukatoliki ulikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa wala haujaletwa na wazungu. Uliletwa na mungu mwenyewe aliposema hata milango ya kuzima haitalishinda kanisa katoliki mathayo 16.12
Ada for adminstrative purposes tu wala siyo kupiga hela ndugupeleka mtoto wako shule za katoliki akasome ndio utajua kama wanatafuta pesa au la.Hiyo ada yake utakoma
maskini wee basi nimeshajua dini hata huijui.Ukatoliki ulikuwepo kabla Yesu kuzaliwa ? pole.Rudi kwa padri wako au uliza mkatoliki mwenzio jiraniUkatoliki ulikuwepo kabla hata yesu hajazaliwa wala haujaletwa na wazungu. Uliletwa na mungu mwenyewe aliposema hata milango ya kuzima haitalishinda kanisa katoliki mathayo 16.12
Mi mwenyewe ni padre yaani unaongea na padre aliyesoma miaka 25 hivyo sizingulikimaskini wee basi nimeshajua dini hata huijui.Ukatoliki ulikuwepo kabla Yesu kuzaliwa ? pole.Rudi kwa padri wako au uliza mkatoliki mwenzio jirani
milioni sita au nne kwa mwaka ada kwa kila mtoto ni administrative cost? watoto unakuta shule nzima wako ellfu mojaAda for adminstrative purposes tu wala siyo kupiga hela ndugu
Rudi darasani ukatoliki haukuanza kabla Yesu KUZALIWAMi mwenyewe ni padre yaani unaongea na padre aliyesoma miaka 25 hivyo sizinguliki
Mi ningekuwa rais ningefuta dini zote za ajabu ajabu kama za akina masanja. Ningebaki na uislamu na ukatoliki tu
Ndiyo yeye mkuu kajibinjua kama gwaji gal kutoka kwenye nyungu mpk kwenye chanjo. Usipokwenda na upepo nchi hii mambo hayaendi.Huyu ni yehodaya yupi ? Yule wa enzi za JPM au