Hujanisoma mkuu rudia tena kusoma post yangu lakini unapoisoma tena hakikisha akili yako imetulia vzr. Tuko pamoja.Mimi sina mpango wa chanjo wewe.Usinilishe maneno
Siku hizi akili zimekurudia, hongera sana Chief. Siku hizi nafurahi unatofautisha Siasa na maslahi ya Taifa. Mungu akubbarikiNdie mimi mwenyewe
Sheria zingine zinabaki pale paleHapo kwenye (2) kifungu kinaanza na maneno haya; "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano,.....
Hili suala la kusajili Dini/Makanisa si ndo sheria zenyewe za Jamhuri ya Muungano? Maana naona hapo Katiba inataja kabisa kuwa bila kuathiri.
I stand to be corrected.
Kwenye siasa ukiamua kufanya maamuzi ya kijinga makusudi, tena hadharani; utajikuta unalazimika kutetea uamuzi wako kwa nguvu; badala ya hoja.Serikali haina mamlaka ya kusajili dini ni kinyume cha katiba ya nchi kifungu cha 19 hiki hapa nanukuu
19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani
na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu
kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya
Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na
shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya nchi
Mfano Hii dini serikali itataka kuisajili? au inamlenga nani Kwenye huo usajili?
Mkuu Mnatuchanganya
Mara Taasisi,Mara dhehebu,
Wanasajili nini?
Dhehebu ni Kama Roman catholic,Lutheran,Sabatho nk nk
Taasisi ni kama Zipi?
Nini Kitasajiliwa naomba mtoe na Mifano tuelewe!
Cc: YEHODAYA