Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.

Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
 
kumbe ndo hivo!! SSH inabidi ashitakiwe kwa uhaini👿
 
Wezi na mafisadi hawataki demokrasia itawale kwani watapoteza ulaji wao haramu
 
Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.

Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Nakazia "Hana akili kabisa"
 
Samia ni zaidi ya shetani katika kusimamia haki za raia!
 
Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.

Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Sasa nisichokielewa huwa sheria za inchii hii zimenyongorota vipi hasa zinakosa macho ya kuuona uhaini mchongo na Uhaini og?
 
Back
Top Bottom