Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Uko vizuri sana, ila mapumbavu na machawa hawatakuelewa kabisa! Majizi, mafisadi, wauaji, watekaji, nk shenzi type!CCM imejigeuza kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa Mafia gang.
kumbe ndo hivo!! SSH inabidi ashitakiwe kwa uhaini👿Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.
Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Nakazia "Hana akili kabisa"Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.
Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.
Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Sasa nisichokielewa huwa sheria za inchii hii zimenyongorota vipi hasa zinakosa macho ya kuuona uhaini mchongo na Uhaini og?Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia.
Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
Ile kwenye amani anahimiza sana au?Samia ni zaidi ya shetani katika kusimamia haki za raia!