Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

Unajua maana ya neno milele lakini? Kwa umri wake wa Sasa hata ukimpa kutawala hiyo milele unayosema, hata Mungu akimpa umri mkubwa bado ana Kama miaka 30 ya kuishi na miaka 15 ya kuwa na uwezo wa kutawala. Hahahaaha
 
nilitaka niweke points nyingi za moto kukupinga ila kwakuwa nina uhakika wewe umesoma elimu zote bongo huwezi kuelewa niishie tu kusema wewe na wote wenye mawazo kama yako ni wapumbavu grade one!! tafuta definition ya Republic utaelewa Magu hatakiwi kuongeza hata sekunde moja! mimi namkubali kuliko wewe FYI!
 
Mm nakubali kazi ya rais magufuli ila napinga hoja yako,maana itafika mda atasitaafu ataingia rais wa hovyo kabisa itakuaje hapo? Tutaweza kubadiri katiba kila mara?.
 
Kwanini hiyo concept ya bomoa Jenga hutaki itumike na kwa wabunge pia. Nao si wanahitaji muda kutimiza ahadi zao.

Pili, kila kiongozi ana focus zake na positives zake. Hakuna Rais aliyepita ambaye hakuwa na positive side kabisa, sasa kwanini hatukuchukua na positive zao wale wengine wabakie madarakani miaka 30 hiyo.

Tatu, unasema nchi za kiafrika haziendelei sababu ya mauchaguzi kila mara una uhakika nchi za ulaya na marekani zimeendelea sababu hawana mauchaguzi kila mara? Ishu sio uchaguzi mkuu, ishu ni kujenga katiba imara hence mfumo ambao kila atakae chaguliwa atalazimika kuufuata. Sisi kwetu kila anaechaguliwa anaanza kumkandia mtangulizi wake na kwenye hadhira anamlaumu waziwazi kuwa hakuwa makini na anabadili mfumo mzima wa uongozi unadhani kunaweza kuwa na maendeleo hapo? Hebu assume Magufuli angeendeleza Yale mazuri yooooote ya Kikwete hasa ya demokrasia na kujenga uchumi alafu ajazie na huu ukali wake na huo unaoita uzalendo unahisi nchi ingesogea kiasi gani?

Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Nderemo na vifijo vilitawala, mGema akisifiwa, tembo hulitia maji
 
Pimbi
 
Na wewe umeonesha ujinga mkubwa ubaki maskini milele chini ya u-dikteta.
 
Vijana kama nyie ndio wazalendo
Tumpe muda Rais Magufuli
 
Kama tulimmiss kikwete, amini nawaambieni, MAGU TUTAMMISS KINYAMA
 
kwa hii mada nzuri ufipa watakupiga mawe mpaka ufe.
 
Upuuzi mkubwa
 
Pindi atakapo ruhusu Uhuru wa komkosoa ndipo utakapojua ya kwamba JPM ni Raisi mwenye madhaifu mengi sana ambae hakupaswa kumaliza hata miaka mitano ya mwanzo ya utawala wake.

Mwenyewe anajijua kwamba yeye ni dhaifu sana anaongoza kwa ubabe,kutia hofu na kutisha kila yule aliye kinyume na yeye. JMP ni fisadi kama walivyo mafisafi wengine wa CCM.
 
madikteta hawapendi kuitwa madikteta na ukiwaita madikteta wanakuonesha udikteta wao?
 
Duh angetufikisha kama alivyofanya baba wa taifa la singapore basi mngesema familia nzima itawale daima hadi kuku
 
Well kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni.Infact hakuna mtawala wa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…