Kusema kweli Ada ya kufanyia miamala imepanda mara dufu

Kusema kweli Ada ya kufanyia miamala imepanda mara dufu

Wanatuibia sana haya mabenki na makapuni ya simu......Ukitaka kutoa 1m inakulazimu utoe laki 2 mara 5 na hapo wanalima kati ya 900 hadi 1000 kwa kila transaction kwa hiyo hpo unalimwa Buku 5 Nzima.
Mtandao gani huo mkuu?

Ila kwa hii mitandao ya simu kwa kweli mimi naitumia basi tu sina ujanja, unatoa laki saba unakatwa 7,300? Nyingi mno...
 
Sijui wanatumia vigezo gani kupandisha hizo gharama.
Ni wizi wa waziwazi. Wako huru sana. Wanajiamulia watakavyo. Hivi huko tcra hawqwaoni? Inabidi tuwe na chama cha walaji (watumiaji wa miamala ya CMU) kila wakitaka kupandisha ama mabadiliko lazima tukae nao waimishe uhalali wa kupandisha. Ulaya wameweza!
Wanatuibia sana haya mabenki na makapuni ya simu......Ukitaka kutoa 1m inakulazimu utoe laki 2 mara 5 na hapo wanalima kati ya 900 hadi 1000 kwa kila transaction kwa hiyo hpo unalimwa Buku 5 Nzima.
Tusilaumu sana kampuni za simu bila kuangalia chanzo ni nini!!

Nadhani mnakumbuka kipindi kile serikali ilisema kwamba inaongeza kodi kwenye miamala ya kutuma/kutoa fedha,wadau walipiga Sana kelele kwa kudai kwamba Mzigo wote ataaubeba mwananchi maana hizo kampuni za simu ni wafanyabiashara na katu mfanyabiashara hatataka apate hasara hivyo na yeye ataongeza gharama ambapo mwisho wa siku Mzigo wote anaubeba mtumiaji wa mwisho/mteja(mwananchi)

Tukija kwenye suala la kuongezeka kwa gharama za miamala hili nalo sidhani kama kuna haja ya kufikiri Sana. Ni wazi na sote tunajua kwa sasa mapato yamepungua maana watu wengi wamefunga biashara zao,misaada imepunguzea na mingine kukatwa kabisa kutokana na sababu mbalimbali hivyo ili kufidia pengo lililoachwa serikali haina budi bali kuongeza Kodi ndo hayo mnayoyaona sasa vitambulisho mpaka kwa wapika vitumbua,waokota chupa,kampuni za simu,nk. Na hii haitaishia hapo kuna mengi yanakuja.
Yajayo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusilaumu sana kampuni za simu bila kuangalia chanzo ni nini?!

Nadhani mnakumbuka kipindi kile serikali ilisema kwamba inaongeza kodi kwenye miamala ya kutoa/kutoa fedha,wadau walipiga Sana kelele kwa kudai kwamba Mzigo wote ataaubeba mwananchi maana hizo kampuni za simu ni wafanyabiashara na katu mfanyabiashara hatataka apate hasara hivyo na yeye ataongeza gharama ambapo mwisho wa siku Mzigo wote anaubeba mtumiaji wa mwisho/mteja(mwananchi)

Tukija kwenye suala la kuongezeka kwa gharama za miamala hili nalo sidhani kama kuna haja ya kufikiri Sana. Wote tunajua kwa sasa mapato yamepungua maana watu wengi wamefunga biashara zao,misaada imepunguzea na mingine kukatwa kabisa kutokana na sababu mbalimbali hivyo ili kufidia pengo lililoachwa serikali haina budi bali kuongeza Kodi ndo hayo mnayoyaona sasa vitambulisho mpaka kwa wapika vitumbua,waokota chupa,kampuni za simu,nk. Na hii haitaishia hapo kuna mengi yanakuja.
Yajayo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu huku wao wakiwa kwenye misafara ya kwenda kuzindua mpaka matundu ya vyoo kwa kodi tunazolipa kwa kuteseka

CC Zero IQ
 
Mnyonge amebaki kukamuliwa tu huku rais hata halipi kodi yoyote

Serikali iko hoi mapato hakuna ndio maana unaona wachuuzi wanapewa vikadi kama vitambulisho visivyo na jina, eneo la makazi wala picha kwa elfu 20, wakati vile thamani yake ni elfu 3 tu.

Serikali ya wanyonge imeamua kuwakamua wanyonge hadi namba waisome
Kwakwel tulipo kwa sasa n shda tu kama ndo kukusanya kodi kwa nguvu wamejitahd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusilaumu sana kampuni za simu bila kuangalia chanzo ni nini!!

Nadhani mnakumbuka kipindi kile serikali ilisema kwamba inaongeza kodi kwenye miamala ya kutuma/kutoa fedha,wadau walipiga Sana kelele kwa kudai kwamba Mzigo wote ataaubeba mwananchi maana hizo kampuni za simu ni wafanyabiashara na katu mfanyabiashara hatataka apate hasara hivyo na yeye ataongeza gharama ambapo mwisho wa siku Mzigo wote anaubeba mtumiaji wa mwisho/mteja(mwananchi)

Tukija kwenye suala la kuongezeka kwa gharama za miamala hili nalo sidhani kama kuna haja ya kufikiri Sana. Ni wazi na sote tunajua kwa sasa mapato yamepungua maana watu wengi wamefunga biashara zao,misaada imepunguzea na mingine kukatwa kabisa kutokana na sababu mbalimbali hivyo ili kufidia pengo lililoachwa serikali haina budi bali kuongeza Kodi ndo hayo mnayoyaona sasa vitambulisho mpaka kwa wapika vitumbua,waokota chupa,kampuni za simu,nk. Na hii haitaishia hapo kuna mengi yanakuja.
Yajayo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kona tunakabwa mkombozi ulibaki kwenye mabasi tu napo kumepigwa kufuli.
 
Samahani lakini , hivi wakoloni bado wapo au walishaondoka? uhuru ndani ya nchi upo hilo sina shaka , ila ni uhuru wa kufanya nini uliopo? mimi hata sielewi elewi lakini angalau ugumu wa maisha unanitia adabu sasa!
 
Ata kama tunataka kuwa na tanzania ya viwanda hii ni too much Ada imepanda sana kwenye miamala,

Siyo kwenye miamala ya Simu mpaka bank ada imepanda mara dufu,sijui kama watu wanaliona hili?

Leo hii ukitaka kutoa elfu 10 tu kwenye simu unatakiwa kuwa na zaidi ya 11500 ada ikiwa 1400 wakati mwaka jana tu hapo ada ilikuwa 1000 tu kwa hiyo hela imepanda 400 nzima, inaweza ikawa ndogo lakini ikikusanywa kwa watu zaidi ya milioni 20 kwa siku ni hela ndefu sijui kama mamlaka husika wanaona hii,

Kwa ada hii nafikiri kule bush kwa wazee inawatesa aswaa maana siyo kila mtu anao uwezo wa kutuma na hela ya kutolea.

CC Zero IQ
na sio ada tu, hata gharama za mawasilano zipo juu mno saivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom