Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao gani huo mkuu?Wanatuibia sana haya mabenki na makapuni ya simu......Ukitaka kutoa 1m inakulazimu utoe laki 2 mara 5 na hapo wanalima kati ya 900 hadi 1000 kwa kila transaction kwa hiyo hpo unalimwa Buku 5 Nzima.
Sijui wanatumia vigezo gani kupandisha hizo gharama.
Ni wizi wa waziwazi. Wako huru sana. Wanajiamulia watakavyo. Hivi huko tcra hawqwaoni? Inabidi tuwe na chama cha walaji (watumiaji wa miamala ya CMU) kila wakitaka kupandisha ama mabadiliko lazima tukae nao waimishe uhalali wa kupandisha. Ulaya wameweza!
Tusilaumu sana kampuni za simu bila kuangalia chanzo ni nini!!Wanatuibia sana haya mabenki na makapuni ya simu......Ukitaka kutoa 1m inakulazimu utoe laki 2 mara 5 na hapo wanalima kati ya 900 hadi 1000 kwa kila transaction kwa hiyo hpo unalimwa Buku 5 Nzima.
Hakika mkuu huku wao wakiwa kwenye misafara ya kwenda kuzindua mpaka matundu ya vyoo kwa kodi tunazolipa kwa kutesekaTusilaumu sana kampuni za simu bila kuangalia chanzo ni nini?!
Nadhani mnakumbuka kipindi kile serikali ilisema kwamba inaongeza kodi kwenye miamala ya kutoa/kutoa fedha,wadau walipiga Sana kelele kwa kudai kwamba Mzigo wote ataaubeba mwananchi maana hizo kampuni za simu ni wafanyabiashara na katu mfanyabiashara hatataka apate hasara hivyo na yeye ataongeza gharama ambapo mwisho wa siku Mzigo wote anaubeba mtumiaji wa mwisho/mteja(mwananchi)
Tukija kwenye suala la kuongezeka kwa gharama za miamala hili nalo sidhani kama kuna haja ya kufikiri Sana. Wote tunajua kwa sasa mapato yamepungua maana watu wengi wamefunga biashara zao,misaada imepunguzea na mingine kukatwa kabisa kutokana na sababu mbalimbali hivyo ili kufidia pengo lililoachwa serikali haina budi bali kuongeza Kodi ndo hayo mnayoyaona sasa vitambulisho mpaka kwa wapika vitumbua,waokota chupa,kampuni za simu,nk. Na hii haitaishia hapo kuna mengi yanakuja.
Yajayo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hamna namna mnaweza kuunda group la whatsapp mtaani kuuwakutanisha wanaotaka kuweka na kutoa pesasiku hizi nikitaka kutoa pesa naenda kwa wakala kusubiria wateja wanaokuja kuweka pesa, nawatumia huku nikikatwa pesa kidogo huku wao wananipa cash.
Hiyo avatar yako inanipa wasi wasi mno,,kwanza niambie jinsia yako?Wanna nchi tunaumia sana sana.
Ila viongozi wetu hata hawalioni hili
Kwakwel tulipo kwa sasa n shda tu kama ndo kukusanya kodi kwa nguvu wamejitahdMnyonge amebaki kukamuliwa tu huku rais hata halipi kodi yoyote
Serikali iko hoi mapato hakuna ndio maana unaona wachuuzi wanapewa vikadi kama vitambulisho visivyo na jina, eneo la makazi wala picha kwa elfu 20, wakati vile thamani yake ni elfu 3 tu.
Serikali ya wanyonge imeamua kuwakamua wanyonge hadi namba waisome
In wizi tu . lakini yana mwusho. Hivi rais wa wanyonge hajaona hilo. Akitia mguu wataachaAcha tu wanatunyonya kwa maneno ya Uzalendo
CC Zero IQ
Sa hv lak mbili unakatwa elfu tano yan nahis kuchokaMtandao gani huo mkuu?
Ila kwa hii mitandao ya simu kwa kweli mimi naitumia basi tu sina ujanja, unatoa laki saba unakatwa 7,300? Nyingi mno...
Rais wa wanyonge wakati yeye kila sku anawaza Jinsi ya kukusanya kodi angalia vitambulisho ndo utaelewaIn wizi tu . lakini yana mwusho. Hivi rais wa wanyonge hajaona hilo. Akitia mguu wataacha
Mkuu kibwagizo. Maana najua anasoma jamii forumsRais wa wanyonge wakati yeye kila sku anawaza Jinsi ya kukusanya kodi angalia vitambulisho ndo utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kama hizi muhimu sana,ila wakala asijue!siku hizi nikitaka kutoa pesa naenda kwa wakala kusubiria wateja wanaokuja kuweka pesa, nawatumia huku nikikatwa pesa kidogo huku wao wananipa cash.
Nazungumzia Transactions za mabank,Kutoa 1m kwenye simu TOZO ni Buku 8.Mtandao gani huo mkuu?
Ila kwa hii mitandao ya simu kwa kweli mimi naitumia basi tu sina ujanja, unatoa laki saba unakatwa 7,300? Nyingi mno...
Kila kona tunakabwa mkombozi ulibaki kwenye mabasi tu napo kumepigwa kufuli.Tusilaumu sana kampuni za simu bila kuangalia chanzo ni nini!!
Nadhani mnakumbuka kipindi kile serikali ilisema kwamba inaongeza kodi kwenye miamala ya kutuma/kutoa fedha,wadau walipiga Sana kelele kwa kudai kwamba Mzigo wote ataaubeba mwananchi maana hizo kampuni za simu ni wafanyabiashara na katu mfanyabiashara hatataka apate hasara hivyo na yeye ataongeza gharama ambapo mwisho wa siku Mzigo wote anaubeba mtumiaji wa mwisho/mteja(mwananchi)
Tukija kwenye suala la kuongezeka kwa gharama za miamala hili nalo sidhani kama kuna haja ya kufikiri Sana. Ni wazi na sote tunajua kwa sasa mapato yamepungua maana watu wengi wamefunga biashara zao,misaada imepunguzea na mingine kukatwa kabisa kutokana na sababu mbalimbali hivyo ili kufidia pengo lililoachwa serikali haina budi bali kuongeza Kodi ndo hayo mnayoyaona sasa vitambulisho mpaka kwa wapika vitumbua,waokota chupa,kampuni za simu,nk. Na hii haitaishia hapo kuna mengi yanakuja.
Yajayo....
Sent using Jamii Forums mobile app
na sio ada tu, hata gharama za mawasilano zipo juu mno saiviAta kama tunataka kuwa na tanzania ya viwanda hii ni too much Ada imepanda sana kwenye miamala,
Siyo kwenye miamala ya Simu mpaka bank ada imepanda mara dufu,sijui kama watu wanaliona hili?
Leo hii ukitaka kutoa elfu 10 tu kwenye simu unatakiwa kuwa na zaidi ya 11500 ada ikiwa 1400 wakati mwaka jana tu hapo ada ilikuwa 1000 tu kwa hiyo hela imepanda 400 nzima, inaweza ikawa ndogo lakini ikikusanywa kwa watu zaidi ya milioni 20 kwa siku ni hela ndefu sijui kama mamlaka husika wanaona hii,
Kwa ada hii nafikiri kule bush kwa wazee inawatesa aswaa maana siyo kila mtu anao uwezo wa kutuma na hela ya kutolea.
CC Zero IQ
ndo hadi mtu akuamini siku hizi matapeli nao wengisiku hizi nikitaka kutoa pesa naenda kwa wakala kusubiria wateja wanaokuja kuweka pesa, nawatumia huku nikikatwa pesa kidogo huku wao wananipa cash.