Si bure kichwani mwako itakuwa kuna funza! Hivi hujui kuwa Waziri wa Ulinzi amefariki? Balaghau wahed!!SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Mmewadhulumu majimbo yao. Na viongozi wengine baadhi mmefika bei. Lakini bado hamridhiki ?!. Kila wakati ni kuiwaza Cdm negatively !!.Chadema hamna uwezo wa kuisumbua nchi
Huku mtaani nobody caresSIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Wale Covid 19 mmeshawasamehe?Mmewadhulumu majimbo yao. Na viongozi wengine baadhi mmefika bei. Lakini bado hamridhiki ?!. Kila wakati ni kuiwaza Cdm negatively !!.
Waliodhani wataiua Cdm wametangulia kufa wao .
Una uhakika au ni hallucinationsSIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Chadema haiwezi kutisha mbele ya majeshi yetuSIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
UVCCM wanavaa hadi buti za jeshi? inamaana ccm ni magaidi? nopeSIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi ,hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda,kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Magaidi wanaolindwa na dolaUVCCM wanavaa hadi buti za jeshi? inamaana ccm ni magaidi? nope
Du! Hilo mwishoni ni tusi au?Si bure kichwani mwako itakuwa kuna funza! Hivi hujui kuwa Waziri wa Ulinzi amefariki? Balaghau wahed!!
Chadema hamna uwezo wa kuisumbua nchi
tatizo kubwa ni Katiba na Tume huru ya Uchaguzi ,kama unakumbuka Magufuli ndie aliewasimika hawa wabunge tulionao na mawaziri waliopo ,ndio ukaona nchi inakwenda upogo ,na haya yanayoanza ndivyo yalivyoanzia huko nchi zingine,usizani hakuna usalama wa Taifa masikini,wala polisi masikini wala majeshi masikini wala wananchi masikini siku masikini hawa wakiungana CCM walioteuliwa na magufuli watakimbia nchi.Tatizo Nini kwani
Watu ni wagumu sana kuelewa mkuuKusimama ni kama kule Siro anakuja kubwabwaja utumbo na kuweweseka, kujichanganya kama vile hajaenda shule. Nchi ndiyo hivyo imesimama
Effect ya kukandamiza Upinzani. Na mtakomaHuku mtaani nobody cares
tunateseka na tozo na bei za mafuta kuliko hizi siasa za kutafuta kiki Kwa pikipiki
Hapana. Ni siku ya kawaida tu. Itakuja na itapita. Makamanda wataskiliza kesi ya mwenyekiti wao kwa utulivu mkubwa. Ninaomba polisi wasifanye fujo zao kwa kisingizio chochote kile.SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.