Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
SioAmani ni kitu muhimu
toa mfano wa siasa nzuri.Na mtatabika sana, hadi akili ziwakae vizuri, angalia kwa wenye siasa nzuri kama upuuzi kama huu upo!!eti mimi mambo ya siasa hayanihusu!!!siasa ndio kila kitu kwako,
usisahau kuandamana, test sumu kwa kuonja