Kusema Kweli CHADEMA inatisha, nchi ipo kwenye STANDBY

Wapi huko kuna standby!??
 
Huku mtaani nobody cares

tunateseka na tozo na bei za mafuta kuliko hizi siasa za kutafuta kiki Kwa pikipiki
Mkuu usiteseke na tozo wala Bei za nafuga,Mimi napendekeza tozo za miamala waongeze maradufu.
Mafuta pia yapande Ili serikali ipate fedha za kugharamia shughuli za kila siku.
 
Chadema hamna uwezo wa kuisumbua nchi

Kwenda mahakamani ni kuisumbua nchi? Hao polisi wanafanya mazoezi kwenda kupambana na watu wasio na silaha, lakini wameshindwa kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini. Kama sio utoto ni nini?
 
Wanaaanzia wapi? Kama hawajatangaza watapita mitaa gani basi ni wababaishaji tu.Kama wako tayari watuambie njia watazopita ili Amburance ziandaliwe kwa ajili ya casualties.
Hizo nguvu za kupambana na wafuasi wa cdm wanaoenda mahakamani kwa amani, mngezitumia kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini.
 
Tunaanza na huyu kengee wenuu tunamdugaa virus mdaa si mrefuu tuonee mtaishia wap
Yule KENGE alikufa kwa kifo gani?Nakuhakikishia kama Mungu aishi vyo kabla ya kumudunga kwenye familia yako watakufa watatu na wawili watakuwa walemavu wa kudumu.
 
Mkuu usiteseke na tozo wala Bei za nafuga,Mimi napendekeza tozo za miamala waongeze maradufu.
Mafuta pia yapande Ili serikali ipate fedha za kugharamia shughuli za kila siku.
Ili mpate sababu ya kulaumu serikali sio?
 
Amani ni kitu muhimu
Mpaka sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa chadema alietangaza kuandamana. Hii inaonesha ni jinsi gani viongozi hao wanagwaya na kuogopa dola lililo chini ya mama shupavu, raisi na amiri jeshi mkuu mh Samia Suluhu Hassani.
 
Hii ndo shida ya kutokuwa na elimu.

Unadhani hata wakiongeza wengine 100 bungeni nani anayeteseka.

Bando zikipanda bei humu mnaanza kulialia.
Huniwezi Kwa elimu wala nini

labda utanizidi ujinga

maswali mengine siyo ya kukurupukia
 
Huku mtaani nobody cares

tunateseka na tozo na bei za mafuta kuliko hizi siasa za kutafuta kiki Kwa pikipiki
Na mtatabika sana, hadi akili ziwakae vizuri, angalia kwa wenye siasa nzuri kama upuuzi kama huu upo!!eti mimi mambo ya siasa hayanihusu!!!siasa ndio kila kitu kwako,
 
Tunaanza na huyu kengee wenuu tunamdugaa virus mdaa si mrefuu tuonee mtaishia wap
Weye kama nani?Unaandika utadhani unamuandikia hawara yako wa form two ukiomba aje na buku mle barafu shuleni!
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.

Tanzania si shwari tena.
Kesho ng'ombe wa maziwa anapelekewa majani. Polisi wanatamani sana mazingira hayo ili magaziti yapendeze.
 
Wanaaanzia wapi? Kama hawajatangaza watapita mitaa gani basi ni wababaishaji tu.Kama wako tayari watuambie njia watazopita ili Amburance ziandaliwe kwa ajili ya casualties.
Amburance ndio nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…