MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe umeuliza kuhusu biashara zake lakini bado unabisha kama taahira. Elewa Mbowe kazikuta mali na biashara za familia na anaziendeleza. Jikite kwenye ulichouliza.Kwa hiyo siasa za bongo ni maji taka. Ndo mana mbowe anatupiga fix kuwa anaibeba chadema.kumbe chadema ndo inampa ulaji ndo mana kuliko amwachie mtu uenyekiti ni heri afia humohumo
ChademaAnayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Utaishia kujua vile upeo wako unaishia. Mi kuna sehemu miaka ya 2012 nilikutana mwamba ana hisa kama zote. Cntasema ni wapi. Hii dunia ni kijiji kama unafikiri kila kitu unatakiwa kukijua nenda kumuulize Mustapha sabodo Hela alikuwa anatoa wapi mzee. Biashara haijaishia kwenye majengo au tin number. Tuko ulimwengu wa digital jiongeze acha kufikiri kitanzania mtatawaliwa tena shauri yenu. Unataka kujua shuguli za watu? Ili awe tajir ulifikir ni lazima afanye bishara bongo au live uzione? Kuna ulimwengu mwingine unaishi hapa hapa na hutakaa uujue kama utaendelea kufikir kitanzania na hii ndio hasara ya ujamaa. The sky's ur limit bro. Nataman hii nchi watu watoke nje japo nusu tu. Kuna mengi ya kujifunza. Usiishi kwa kulishwa matango pori, vumbua dunia yako.Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Unazitaka za nini Mkuu?Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
KIna Mbowe wana nyumba nyingi sana UINGEREZA toka enzi za baba yake.....nakumbuka Christmas moja walikuja wazungu kibao toka U.K. tukala nao bata pale Old Moshi...ndipo tukaelewa wengine walikuwa ni wafanyakazi wao.....Kimsingi wana mpaka Mahoteli Uingereza....Shahidi ni mama Mary Elfik,,,,Achilia mbali makampuni ya Dubai,,,,Monde Du south etc.Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Watu wakisema Mbowe ana akili hawaongelei hizi akili za kupatia marks za ku-explain causes of majimaji war. Wanaongelea zile akili real ambazo zinakusaidia kuishi maisha safi.Akili gani wakati alipata zero form six pale kibaha
Au kama kunamfanyakazi anaye fanya kazi kwenye biashara ya Mbowe aje atuambie . Kampuni ya mbowe imajiri watu wagapi na mishahara ikoje. Tanzania daima lilisha kufa kwa wafanyakazi kukosa mshahara. Sasa.Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Pale fukara anapohoji utajiri wa tajiri inachekesha sana.Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Shangaa sasa mke wake ni PhD holder, unaona ulivyo mjinga?Akili gani wakati alipata zero form six pale kibaha
Si watu wote wamo JF. Sasa wafanyakazi wazungu na waarabu wa biashara zake alizowekeza Uingereza na Dubai, wawemo JF kufanya nini, kuulizia biashara za Lissu?Au kama kunamfanyakazi anaye fanya kazi kwenye biashara ya Mbowe aje atuambie . Kampuni ya mbowe imajiri watu wagapi na mishahara ikoje. Tanzania daima lilisha kufa kwa wafanyakazi kukosa mshahara. Sasa.
Hela za Rais zinatoka Ikulu na Bajeti ipo ,shida mumejaa upumbavu kichwani.Hata makampuni ya MO hayako DSE.
Nenda Brela au TRA watakuwa na jibu.
Kwa nchi za wenzetu, mtu akitoa mchango wa 250 million kesho yake Revenue Authority wako mlangoni. Kwa Tanzania ni tofauti, Rais ndiye kiongozi wa kumwaga pesa zisizojulikana zinakotoka.
We mzushi u anifurahisha maana unataka kumaliza utata watu hawataki naungana na ww tumalizie uzi watutajie za mbowe specific au ubia hatutaki eti wachaga walipata ela kale hayo ni mambo ya ujumla hayagusi mtu mmoja mmoja tunataka yy tuAtaje sasa biashara zake. Si basi jamani kuna utata hapo kwani