Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

Kuwa na Washauri ni kawaida. Lakini washauri wanaokupotosha na ukafanya hapo ndipo mada yangu ilipo.
Taikon hapa hapana. Kwa mfano issue ya nuclear rais anajua nini? Sasa wataalamu wa nyuklia wanaweza kumuingiza Chaka au hata issue za kisheria...
 
Nje ya mada kbsa umekwenda wee mfia dini
 
Taikon hapa hapana. Kwa mfano issue ya nuclear rais anajua nini? Sasa wataalamu wa nyuklia wanaweza kumuingiza Chaka au hata issue za kisheria...

Unaweza ukashauriwa Jambo ambalo huna ujuzi na ufahamu nalo.
Lakini unaweza pia kulichunguza Kwa namna nyingine jinsi likavyotokea Huko Duniani au sehemu zingine.

Ushauri mwingi sio Mpya. Mashauri mengi ni kesi zilizopo mahali pengine, Kwa nchi yetu mambo karibia yote tunayatoa katika mataifa mengine. Hivyo mtu anaweza akakushauri Jambo na Kwa vile sio jipya unaweza kuchunguza ushauri huo ulivyotumika maeneo mengine na matokeo yake.
 
Katiba yetu inasema Rais halazimishwi fuata ushauri wa mtu
 
Waliokuzunguka wakiamua unaingizwa Chaka rais ana mafaili Mengi sana atachunguza mangapi ukizingatia bi mdoshi dizaini hapendi kusoma....Kwa ninavyomuona
 
Raisi hakosei labda atoke waziwazi akiri kuwa alikosea.

Tofauti na hapo, ikiwa nyeupe ni sifa kwa raisi na ikiwa nyeusi wateule wamempotosha na atawajibika mtia saini/mkuu wa idara/wizara n.k yeye kama yeye binafsi.

Thisi izi Afrika my furendi.

Ndio maana tunataka Katiba ambayo Rais atawajibika ili wote wawe na adabu Mbele ya SHERIA
 
Waliokuzunguka wakiamua unaingizwa Chaka rais ana mafaili Mengi sana atachunguza mangapi ukizingatia bi mdoshi dizaini hapendi kusoma....Kwa ninavyomuona

Ndio maana Rais anatakiwa achague Watu sahihi. Ili apate Matokeo sahihi.
Watu wenye uadilifu, maarifa, ujuzi, Elimu, uzoefu, haki, wasema kweli.

Hivyo ni kosa la Rais ikiwa atateua Watu(wateule) wasio na Sifa.
Hivyo kudanganywa au kupotoshwa ni muendelezo wa kosa la Kwanza la uteuaji.
Upo Mkuu
 
Subiri Maza atachezeshwa isidingo mpaka ajue wabongo sio wazenji ashtuke mapema kama anataka kutoboa mpaka 2030! Ye ajifanye kuwaamini akina Madelu system
 
Jamaa huyu the boss Ni debe tupu sikudhanigi Kama Ana mawazo mgando namn hii
 
Subiri Maza atachezeshwa isidingo mpaka ajue wabongo sio wazenji ashtuke mapema kama anataka kutoboa mpaka 2030! Ye ajifanye kuwaamini akina Madelu system

Hizo Isidingo ndio Siasa zenyewe. Sio kosa. Ni Michezo ya kisiasa.
Lakini ishu inaanzia kwenye kukosa Uzalendo, ubinafsi, uhujumu uchumi na kudhuru maslahi ya Taifa.

Kumpotosha Rais Kwa Makusudi ni uhaini, ni kumdharau na kudharau nchi.
Na Rais aidha Kwa udhaifu wake wa kutokujua baadhi ya mambo( kwani binadamu hawezijua mambo yote) akafanya alichoshauriwa kilichopotoka. Tafsiri yake ameamua kuihujumu nchi, kuidharau na kujidharau
 
Mkuu,

Kwani wewe unaposikia "washauri wa rais" unafikiri nini?

Unaelewa kuwa kwa kuanzia tu, ukiacha hao wanaoteuliwa kuwa "mshauri wa rais wa ...", unaelewa kuwa cabinet nzima ni washauri wa rais?
Haelewi Hilo ,kina mwigulu wote Ni washauri
 
Mkuu Robert Heriel Mtibeli hii nchi ni ya Ajabu sana kuliko unavyofikiria. Kama unafiki ungekuwa ni nyeti tulizonazo basi leo hii kila mtu angekuwa anaziburuza chini kwa ukubwa angeokuwa nao 😂. Unafiki umeenea sana na shida kubwa ni mbili tu
1. Mazumbukuku yasiojielewa yanaenda wapi na yanataka nini kama taifa
2. Wapigania tumbo au Matumbo yao hata kama wanachokitetea ni Jambo la kustaajabisha

Kifupi kwa utafiti wangu nilioufanya na kwa kuzingatia research methodology nilizotumia hii nchi pamoja na rasilimali zote tulizonazo nazo basi tutaishia tu kuwa nchi ya kawaida sana na ama ikipendeza kuwa nchi masikini zaidi kutokana na uzumbukuku unaotukabili.
 
Kama hiyi habari niyaukweli basi rais Nyerere alikuwa mjinga na Mpumbavu ...huwezi kukapata ushauri kwenye mambo ya straightforward kama hayo.
Hii habari ni ya kweli, soma biography za Issa Shivji na wenzake za Nyerere.

Ujinga na upumbavu wa Nyerere uko wapi?

"Kukapata" maana yake nini?

Mambo straightforward yakoje?

Ulitaka Nyerere ataifishe maduka yote Tanzania?

HIi habari umeielewa muktadha wake hapa au unarukia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…