Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
Taikon hapa hapana. Kwa mfano issue ya nuclear rais anajua nini? Sasa wataalamu wa nyuklia wanaweza kumuingiza Chaka au hata issue za kisheria...Kuwa na Washauri ni kawaida. Lakini washauri wanaokupotosha na ukafanya hapo ndipo mada yangu ilipo.