John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Dsm ni Jiji au Zizi ???inaweza kua kweli kwa mtazamo na maoni yako,
hata kuna msanii mwingine aliimba lakini, yeye alienda mbali zaidi kwa kusema Yuko Bongo kwa bahati mbaya tu...
hizo zote ni nadharia tu hususan kwa waliokosea ai kushindwa kukabkiliana na hali maisha ya maeneo hayo...
kwa mfano kuna mwingine anaweza kua na mawazo kama yako na kua na nadharia kama hiyohiyo akiisemea Njombe, Tanga, Shinyanga au Arusha kwamba ni chafu au haikupangwa vyema,
anasahau kwamba anawajibika kurekebisha au kuchochea hali nzuri zaidi kama anavyotamani...
kwa pamoja, tunaweza kubadili mazingira na hali ya maisha tunamoishi...
Je, Dsm ni mji msafi? Una Mipangomiji mizuri? Una miundombinu bora ya barabara, majengo, n.k?
Ina Huduma bora za Usafishaji Jiji? Nyumba/majengo mangapi yaliyopo kwenye mji huu wa Dsm yanafikika kwa barabara bora za Lami???????